Sijawahi kusikia mtu kaenda Uwanja wa ndege kachekewa ndege halafu akagongwa.


Diamond alishawahi kupanda boda kisa kachelewa flight na Mo DEWIJ pia
mimi pia ilibidi niamuachie gari dogo pale mataa ya ubungo kipindi hiko hamna fly over.
Nikadaka boda fasta hadi Airport
 
Pole sana mkuu...
Nchi zilizoendelea zilishapiga marufuku haya matakataka mjini.

Kwanza zinachafua mji, zinaongoza kwa kuleta ajali na kuua vijana.
...Hivi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Chena, Uholanzi, Dubai na Kwingine Kwa hivyo Kuna Boda Boda ? Mbona India Zimejaa ?...Tatizo ni Maendelea ??....
 
Kama unatumia Bodaboda hasa maeneo ya mjini tuzingatie sana

1. Usipande bodaboda isiyokuwa na vioo vya pembeni (saiti mira) – side mirror
Pikipiki ambayo haina vioo vya pembeni, dereva haoni gari linalokuja nyuma au hata akitaka kupinda, haoni nyuma hivyo uwezekano wa kugongwa ni mkubwa sana; ni suala la muda tu wala haijalishi uzoefu. Kama unajali uhai wako na familia yako, zingatia sana hii

2. Usipande pikipiki ambayo dereva hajavaa Kofia/helmet
Ile kofia inakioo kinachozuia wadudu wanaoingia machoni na hata vumbi anapopishana na magari makubwa; Fikiria boda anakimbia KMS 70, halafu wadudu wamuingie machoni; ushukuru sana Mungu kama hutaishia kwenye mtaro au hata kugongwa...

Ushauri: Vile vioo vya pembeni vyote viwili havizidi shs 10,000 hivyo kama una bodaboda wako, unaweza kumnunulia/kumkopesha. Kofia ngumu ya kawaida ni kwenye shs 20,000=
Porojo tu Hizi, In Short hawanaga Akili tu Hawa
 
Apo aliyemgonga utakuta alikua amelewa,na saivi yupo bar anakunywa bia,hakuna anayemkumbuka,lawama zote zipo upande wa polis kwa kuchelewa kuhukua mwili,upande wa pili wa chanzo cha ajali kama kuna uzembe mahali,unazimwa kwa kubebeshwa lawma polisi pekee,
Utakuta anayefanya hivyo analengo maalumu anawajua wabongo walivyoo,wakwanza kubebeshwa lawama wanapita naye uyo uyo.
Utaona apo ata mwili ukichukuliwa saa 11 kasoro asubuhi,mtoa mada anaandika saa W
Watu Wakishapata Pa Kushushia, Malalamiko tena? Nimeona hata Ukurasa Wa Polisi Wametoa Ufanunuzi
 
Not a spinning conspiracy?
 

Attachments

  • IMG-20240426-WA0023_1.jpg
    IMG-20240426-WA0023_1.jpg
    45.5 KB · Views: 5
Ukiona ujinga wa namna hii umekithiri nchini basi juwa tatizo liko juu zaidi na hii yote inaonyesha kuwa tuna utawala mbovu toka Rais mpaka viongozi wa huku chini. Sasa kituo kinakosa kweli gari lililo na mafuta, imetokea dharura kama hii wanashindwa kutokea. Mkuu wa kituo akamatwe au afukuzwe kazi.
 
Apumzike kwa amani
Kagongwa na boda, kaanguka na boda, boda alopanda imegongwa na gari,???Ni nini hasa kimetokea??
 
...Hivi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Chena, Uholanzi, Dubai na Kwingine Kwa hivyo Kuna Boda Boda ? Mbona India Zimejaa ?...Tatizo ni Maendelea ??....
Bodaboda zipo nchi za kipumbavu tu.
Nb: pikipiki na bodaboda ni tofauti.
 
Mwendazake alikua na mapungufu yake kama binadamu, Lakini kwa wakati wake huu upuuzi wa polisi kusema hawana mafuta sijui nini usingekuwepo. Kingine nilichompendea Magufuli , tatizo likitokea analitafutia ufumbuzi haraka sana hakua na mijadala ya kipumbavu pumbavu.Polisi wa bongo ni majanga na hawafai. Hilo sio jeshi la polisi ni jeshi la waganga njaa na wala rushwa.
Angekuwa Magu angeanza na Kamanda wa Kinondoni anashuka nae
 
R.I.P. Kijana

Nani aliamua kwamba amekufa na polisi ndio wamchukue? Kwa khali yoyote si ilibidi apeleke hospitali kwanza au?

Hii issue natumaini Serikali utaangalia na kuelezea iweje, bila Daktari nani mwingine anapaswa kufanya kazi yao?
 
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari linafikirisha sana..

Jibu walilotoa polisi walisema Gari yao haina MAFUTA ☹️,boda boda ilibidi waustili mwili vizuri ili hali ukiendelea kubakia eneo lile ukinyeshewa na mvua😢, mpaka ilipofika leo mida ya saa 4 asubuhi ndipo askari waliweza kufika eneo la tukio na kuutoa mwili wa marehemu kuupeleka hospitali.

TUKIO LA JANA NI UDHIHIRISHO TOSHA KUWA TUNA ASKARI WASIOKUWA NA WELEDI WOWOTE NA KAZI YAO 😒😠


"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!

Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi tunapiga nae na watu wakibao wakamuamini zaidi, njaa yake ya kutamani kupiga picha kali ikampeleka mpaka kwa Millard na kufanya kazi kupitia Ayotv, Pole sana @millardayo pole kwa familia, ndugu na jamaa 🙏 M/Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏. """Lulyommy

View attachment 2974681
RIP
 
Back
Top Bottom