Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
770
1,898
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa.

Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua.

Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma wanamatatizo kuna mambo huwa yanapelekea kufanya hivyo. Tumia tu busara hasira zako kwa mwanamke usipeleke kwa watoto, watoto wanawezwa kujazwa maneno ya uadui na wasikutambue
 
IKUMBUKWE NYAKATI ZIMEBADIRIKA SANA,
ZAMANI WATU WALIKUA WANAZAA WATOTO WENGI ILI WAJE KUPATA USAIDIZI UZEENI.
ZAMA HIZI, WATOTO NDIO WANAWEZA KUHITAJI USAIDIZI WA WAZEE WAO!
MWELEZE MTOTO WAKO BABA YAKO NI SHETANI, MBWA, NYOKA, MAREHEMU, NK NK.
HALAFU UNAKUJA KUKUTA HUYO HUYO MZEE ANA UCHUMI MZURI, CHEO KIKUBWA,KIASI WEWE NDIO WA KUMTEGEMEA!

Mithari 18: 20-23 Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi.
 
Hahaha .. kwahiyo issue muhimu mshua ujiweze kiuchumi
 
Labda wa kwako ndugu hawatakutafuta ila hata ikiwa umebebesha mimba na kupotea iko siku utatafutwa tu, whatever ulitoa au hukutoa matunzo.

Kitanda hakizai haramu.
Naufahamu sana na maisha .... ni kwa asilimia chache sana mtoto akutafute na hata akikutafuta bado ile bond haitokuwepo . Futa huo mtazamo wako
 
Naufahamu sana na maisha .... ni kwa asilimia chache sana mtoto akutafute na hata akikutafuta bado ile bond haitokuwepo . Futa huo mtazamo wako
Kwahiyo wewe tu ndiye umeletwa duniani na unaelewa kuhusu maisha?.

Au ni wewe tu toka uzao wa kwanza wa Adam hadi leo, so mambo ya familia wengine hawana uzoefu nayo?.
 
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake / mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa . Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua .nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma wanamatatizo kuna mambo huwa yanapelekea kufanya hivyo. Tumia tu busara hasira zako kwa mwanamke usipeleke kwa watoto , watoto wanawezwa kujazwa maneno ya uadui na wasikutambue
Nawaza
 
Back
Top Bottom