ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,238
- 9,882
Usisahau na maziwa ya mgando pembe na kwa unavyootupia mapishi naona sontojo litakua 💥💥
Na maziwa ya mgando pembeni😋Na unavyojua kupika naweza maliza kilo ya Unga🤣🤣🤣Bila shaka, sijajua itakuwa lini ila iko siku ntaketi kwenye kigoda nisonge huo ugali na sontojo la Sato.
Nitaweka mrejesho hapa.
Usisahau na maziwa ya mgando pembe na kwa unavyootupia mapishi naona sontojo litakua 💥💥
Na maziwa ya mgando pembeni😋Na unavyojua kupika naweza maliza kilo ya Unga🤣🤣🤣
Mimi mbona nikila hivi sishibi😥View attachment 2988382
Lunch....
Mashed potato,fried veggies and scramble egg.
View attachment 2988383
Hapo nimeongeza pilipili iliyokatwakatwa na vitunguu na kulowekwa kwenye vinegar 😋😋😋😋.
Jimmy kama nakuonea vile ukiwa unapiga kazi hapo iyunga tech.