Utafiti Mpya: Wanaume wanaopenda kufanya Mazoezi wanawaridhisha zaidi Wapenzi wao kuliko wale ambao wako wako na hawana Ratiba yoyote ile

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,892
109,611
Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za Kienyeji ili nami Nipashe kwani kwa mbaali kwa Shughuli za Kibaioloji nilizozifanya kwa Wiki Mbili Tatu hivi najiona kabisa huu Utafiti wa The Monitor unanihusu kwani nimekuwa mzito na Kitambi cha Mkwara na Uchwara sasa Kimeanza Kuninyemelea.

Haya Ewe Mwanaume Mwenzangu mwenye Demu au Mke kuanzia leo anza Kupiga mno Tizi ili usije Kupigiwa bure Ok?
 
1. Piga tizi (kupata pumzi),
2. Punguza wanga na sukari (kupunguza unene),
3. Kunywa maji ya kutosha (husaidia mzunguko wa damu) na mboro kuimarika
Aksante Mkuu kwa hii Elimu yako na ngoja niianze rasmi Kesho kwani najiona kabisa kuwa sasa Nakata mno tu Pumzi.
 
Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za Kienyeji ili nami Nipashe kwani kwa mbaali kwa Shughuli za Kibaioloji nilizozifanya kwa Wiki Mbili Tatu hivi najiona kabisa huu Utafiti wa The Monitor unanihusu kwani nimekuwa mzito na Kitambi cha Mkwara na Uchwara sasa Kimeanza Kuninyemelea.

Haya Ewe Mwanaume Mwenzangu mwenye Demu au Mke kuanzia leo anza Kupiga mno Tizi ili usije Kupigiwa bure Ok?
Hizi ndio topics zinazopendwa sana na watu Weusi zaidi. Thread Kama hii utashangaa kuona comments zitafika hata milioni moja ndani ya masaa 24 tu!!!

It's true that "Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
By Pieter W. Botha, a former President of South Africa.
 
Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za Kienyeji ili nami Nipashe kwani kwa mbaali kwa Shughuli za Kibaioloji nilizozifanya kwa Wiki Mbili Tatu hivi najiona kabisa huu Utafiti wa The Monitor unanihusu kwani nimekuwa mzito na Kitambi cha Mkwara na Uchwara sasa Kimeanza Kuninyemelea.

Haya Ewe Mwanaume Mwenzangu mwenye Demu au Mke kuanzia leo anza Kupiga mno Tizi ili usije Kupigiwa bure Ok?
subiri waje jamaa kuuponda huu uzi. sisi wenye vitambi hatupendi kusikia hizi habari tutajitetea na kuponda sana mazoezi......utaambiwa tafuta pesa tu.....
 
Back
Top Bottom