US waitishia ICC kuwa hakuna kumkamata Netanyahu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,072
18,099
Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi?

Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi?
---

The US threatens the International Criminal Court in The Hague:

"If you send an arrest warrant to #Netanyahu and his ministers, there will be no cease-fire" - Bloomberg reports

The US and its allies are concerned that the International Criminal Court may issue arrest warrants for Israeli officials just as the country is getting closer to a cease-fire agreement with Hamas, potentially jeopardizing a deal, people familiar with the matter said. - the article says.
 
"If you send an arrest warrant to #Netanyahu and his ministers, there will be no cease-fire" - Bloomberg re
Ataendelea kubinuliwa redsea
20240403_094848.jpg
 
Hiyo icc inasikiliza kesi ya nchi ambayo ilikataa kutimiza matakwa yake South Africa iligoma kumkamata Albashir na Putin... wenye Makosa halali ndio waje wamkamate Netanyahu anayepambana na Magaidi amabayo sisi tu yalitutokea Kibiti na Mtwara tulijua nini maana ya magaidi... sometimes huwa siielewi hii Dunia..

Wanaounga mkono magaidi ni washenzi
 
Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi?
Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi?
#BREAKING:

The US threatens the International Criminal Court in The Hague:

"If you send an arrest warrant to #Netanyahu and his ministers, there will be no cease-fire" - Bloomberg reports

The US and its allies are concerned that the International Criminal Court may issue arrest warrants for Israeli officials just as the country is getting closer to a cease-fire agreement with Hamas, potentially jeopardizing a deal, people familiar with the matter said. - the article says.
Wamkamate kwa kuilinda nchi yake?
 
Israel na Marekani sio wanachama wa ICC utatoaje warrant ya kukamata mtu ambaye Nchi yake sio mwanachama wa ICC

Afrika Wahuni tatizo la Sudan kaskazini lisingekuwepo la wao kupigana wao Kwa wao kama Africa kusini ingemkamata Omar Al Bashiri mwanzilishi wa kundi la Janjaweed lililoua watu wengi sana Dafur watu weusi Sasa hivi linapigana na jeshi la serikalli ya Sudan na vita imeleta maafa mengi na shida Kwa wasudan
 
Hiyo icc inasikiliza kesi ya nchi ambayo ilikataa kutimiza matakwa yake South Africa iligoma kumkamata Albashir na Putin... wenye Makosa halali ndio waje wamkamate Netanyahu anayepambana na Magaidi amabayo sisi tu yalitutokea Kibiti na Mtwara tulijua nini maana ya magaidi... sometimes huwa siielewi hii Dunia..

Wanaounga mkono magaidi ni washenzi
Sahihi ICC ilitoa warrant ya Omar Al Bashiri akamatwe akitua Africa kusini . Africa ya kusini ikagoma.
 
Benjamin Bibi Netanyahu hawezi kukamatwa kwa kupiga magaidi, Hamas walivamia wakachinja wayahudi zaidi ya 1000 na kuwateka 230 ambao mpaka leo wanao kwenye mahandaki ya machafu, kosa la Bibi Netanyahu ni lipi kutandika wapuuzi wa Hamas, kutowapa kipondo cha sawasawa Hamas utakuwa mwisho wa Israel na wakipata nafasi watachinja nchi nzima
 
Hiyo icc inasikiliza kesi ya nchi ambayo ilikataa kutimiza matakwa yake South Africa iligoma kumkamata Albashir na Putin... wenye Makosa halali ndio waje wamkamate Netanyahu anayepambana na Magaidi amabayo sisi tu yalitutokea Kibiti na Mtwara tulijua nini maana ya magaidi... sometimes huwa siielewi hii Dunia..

Wanaounga mkono magaidi ni washenzi
Huna lolote wewe ni ulokole tu unakusumbua.
 
Israel na Marekani sio wanachama wa ICC utatoaje warrant ya kukamata mtu ambaye Nchi yake sio mwanachama wa ICC

Afrika Wahuni tatizo la Sudan kaskazini lisingekuwepo la wao kupigana wao Kwa wao kama Africa kusini ingemkamata Omar Al Bashiri meanzilishi wa kundi la Janjaweed lililoua watu wengi sana Dafur watu weusi Sasa hivi linapigana na jeshi la serikalli ya Sudan na vita imeleta maafa mengi na shida Kwa wasudan
USA signed the treaty but not ratified
 
Wanatoa kwa wanachama wao,kwamba wakitimba huko wadakwe
 
Israel na Marekani sio wanachama wa ICC utatoaje warrant ya kukamata mtu ambaye Nchi yake sio mwanachama wa ICC

Afrika Wahuni tatizo la Sudan kaskazini lisingekuwepo la wao kupigana wao Kwa wao kama Africa kusini ingemkamata Omar Al Bashiri meanzilishi wa kundi la Janjaweed lililoua watu wengi sana Dafur watu weusi Sasa hivi linapigana na jeshi la serikalli ya Sudan na vita imeleta maafa mengi na shida Kwa wasudan
Naona unapambana mpaka mate kuruka kumtetea mpwa wa yesu
 
Nimetetea Hadi Sudan kaskazini ambayo ni waislamu Kwa waislamu wanatwangana kati ya majeshi ya serikali na Waasi wa Janjaweed jeshi binafsi lililoundwa na Omar Al Bashiri kuua waislamu weusi wa Dafur kuwa ICC ilitoa warrant akamatwe na Africa kusini wakijua ana jeshi binafsi la kuua wasudan .Omar Al Bashir alipotembelea Africa kusini . Africa kusini ikagoma kukamata .Ona Sasa kinachoendelea Sudan kaskazini.Wewe kama muislamu unaridhika nacho hao waislamu wenzio wakitwangana na kuuana na kuzalisha wakimbizi Hadi vyuo vyao vikuu vimefungwa wamekimbilia Muhimbili kuja kusoma hao wasudan
 
Israel na Marekani sio wanachama wa ICC utatoaje warrant ya kukamata mtu ambaye Nchi yake sio mwanachama wa ICC

Afrika Wahuni tatizo la Sudan kaskazini lisingekuwepo la wao kupigana wao Kwa wao kama Africa kusini ingemkamata Omar Al Bashiri meanzilishi wa kundi la Janjaweed lililoua watu wengi sana Dafur watu weusi Sasa hivi linapigana na jeshi la serikalli ya Sudan na vita imeleta maafa mengi na shida Kwa wasudan
Urusi ni mwanachama wa icc?
 
Nimetetea Hadi Sudan kaskazini ambayo ni waislamu Kwa waislamu wanatwangana kati ya majeshi ya serikali na Waasi wa Janjaweed jeshi binafsi lililoundwa na Omar Al Bashiri kuua waislamu weusi wa Dafur kuwa ICC ilitoa warrant akamatwe na Africa kusini wakijua ana jeshi binafsi la kuua wasudan .Omar Al Bashir alipotembelea Africa kusini . Africa kusini ikagoma kukamata .Ona Sasa kinachoendelea Sudan kaskazini.Wewe kama muislamu unaridhika nacho hao waislamu wenzio wakitwangana na kuuana na kuzalisha wakimbizi Hadi vyuo vyao vikuu vimefungwa wanekimbilia Muhimbili kuja kusoma hao wasudan
Huko ukraine ni waislam?Haiti pia ni waislam?Huko rwanda walipochinjana 94 ni waislam?Huna akili kabisa
 
Hiyo icc inasikiliza kesi ya nchi ambayo ilikataa kutimiza matakwa yake South Africa iligoma kumkamata Albashir na Putin... wenye Makosa halali ndio waje wamkamate Netanyahu anayepambana na Magaidi amabayo sisi tu yalitutokea Kibiti na Mtwara tulijua nini maana ya magaidi... sometimes huwa siielewi hii Dunia..

Wanaounga mkono magaidi ni washenzi
Wewe kweli Punguani umeandika uharo mtupu.

View: https://x.com/kahlissee/status/1784976071894454483?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Benjamin Bibi Netanyahu hawezi kukamatwa kwa kupiga magaidi, Hamas walivamia wakachinja wayahudi zaidi ya 1000 na kuwateka 230 ambao mpaka leo wanao kwenye mahandaki ya machafu, kosa la Bibi Netanyahu ni lipi kutandika wapuuzi wa Hamas, kutowapa kipondo cha sawasawa Hamas utakuwa mwisho wa Israel na wakipata nafasi watachinja nchi nzima
Mbona hamtaki kuelimika?wapalestina hao kina hamas wanapigania ardhi yao inayonyanganywa.usiwe mjinga kwa kukubali propaganda za uongo
 
Back
Top Bottom