Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz Kii akaonesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini.
Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi.
Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo liliambatana na msisitizo fulani hivi.