DOKEZO Uongozi wa The Guardian haujatulipa mshahara miezi mitano lakini Raia Wa kigeni wanalipwa kama kawaida

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana, kuna muda unatakani ufanye jambo lakini nafsi inasita, anyway ngoja nielezee ili Dunia ijue.

Mimi na wenzangu tumeshirikiana kuandika andiko hili, sisi ni baadhi ya Wafanyakazi au unaweza kutuita Watumishi wa Kampuni ya The Guardian Limited, moja kati ya makampuni yaliyo chini ya IPP Media.

Kuna magazeti kadhaa yapo chini yetu yakiwemo magazeti ya The Guardian na Nipashe, tuna hali mbaya kiuchumi, hali zetu zinasikitisha sana kutoka na kutolipwa mshahara kwa muda mwa miezi mitano sasa.

Filamu inaanza hivi karibuni wakati wa Pasaka tulisikia tetesi kwamba account zetu za kampuni zimefungiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukashika vichwa na kujiuliza tunakoelekea sasa tutachanganyikiwa.

Hiyo hoja ya kufungiwa siyo sababu hasa ya sisi kutolipwa mshahara kwa muda wote huo, kwani hatujalipwa tangu Novemba 2023.

Wachache wamepewa kimafungu
Kuna muda tunasikia watu wachache walilipwa mshahara wa Desemba 2023, hali inayoonesha kuna kulipana kwa kujuana.

Hakuna sababu tunayopewa
Pamoja na kuwa tumekuwa tukiuliza mara kadhaa kujua hatima yetu hatupewi majibu yoyote ya maana, kuna muda wanasema fedha hakuna kwa kuwa mauzo ni mabaya. Uongozi hautoi melekezo wla tamko lolote.

Kinachouma Raia wa kigeni wanalipwa
Kuna wafanyakazi kadhaa raia wa Kigeni kutoka India wao tupo nao hapahapa ofisini, wanalipwa vizuri stahiki zao zote na kila mwezi licha ya kuwa wao wana malipo ya gharama kubwa.

Wanalipiwa kodi ya nyumba, school fees za Watoto wao, kila mmoja wao ana gari la kumtoa nyumbani kumfikisha kazini na kumrudisha anapoishi.

Mishahara yao inalipwa ndani ya muda, pia wanalipiwa malipo ya vibali vya kufanya kazi, yote hayo yanafanyika wakati Wazawa tuna hali ngumu.

Majukumu ya Wageni
Mmoja yupo kwenye kitengo cha Advertisement, mwingine Procurement na mwingine kwenye kitengo cha Production.

Haijawahi kutokea hata siku moja wenzetu wageni hao wakakosa hata hela ya mafuta au ofisi ikasema haijawapa kukosa nauli ya kuwapatia

Kampuni yetu haina Mkurugenzi anayedili na sisi moja kwa moja, anayetusimamia ni General Manager.

Malipo ya NSSF hayajaingizwa kwa miaka mwili
Stahiki zetu za NSSF ambazo tunatakiwa kuingiziwa kila mwezi, mara ya mwisho kuingiziwa fedha ilikuwa Aprili 2022.

Idadi ya Wafanyakazi
Jumla ya Wafanyakakazi ni tupo zaidi ya 150.
 
Watu mna wezaje kuvumilia kuto lipwa miezi yote iyo au ni uoga, maana asipo kulipa mwezi mmoja tu tayari ni sawa na kavunja makubaliano au mikataba yenu ina kifungu cha kuvumiliana teh.
 
Mmefuata utaratibu wa kuwasilisha malalamiko yenu kwa ngazi husika,maana isije ikawa kisingizio na kuuleta huu uzi dhumuni kubwa ni hao wageni!
 
Jipe moyo boss, wenye mamlaka vaeni uhusika plz, watu wazima wanali😭😭😭
 
Back
Top Bottom