Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,837
- 13,195
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita...
Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....
Sasa katika hali hiyo kuna haja upinzani nchini waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyozoeleka ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokuwa kwenye chaguzi zilizopita?