Uandaliwe mpango kabambe wa kusambaza filamu za utalii zinazofanywa na Rais Samia kote duniani

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,593
4,628
Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi mei, 2024 na mafanikio ya filamu ya The Royal Tour.

Kuhusu mafanikio ya filamu ya The Royal Tour Mhe.Waziri amesema " Mwaka 2023 tumeshuhudia ongezeko la idadi ya watalii wa kimataifa kutoka 1,454,920 mwaka 2022 hadi kufikia watalii 1,808,205 mwaka 2023 sawa na ongezeko la asilimia 8.4". Kipande hicho cha taarifa ya Waziri mkuu kinatosha kuelezea faida lukuki zilizopatikana Kwa Rais Samia kuigiza filamu ya The Royal Tour.

Faida za ushiriki wa Moja Kwa Moja za Rais kufanya filamu ya kutangaza utalii zikiwa zimeonekana na takwimu zikifafanua, tunajivunia pia kutangaziwa kwamba kuna filamu nyingine imeandaliwa ikiwa na dhumuni na lengo kama la The Royal Tour.

Naamini mafanikio haya ni matokeo ya jitihada nyingi za Serikali kuinua sekta ya utalii nchini na hii bado inatukumbusha lengo la watalii milioni 5 Kwa mwaka ifikapo 2030 ni suala la muda kabla ya kufukiwa.

Filamu hizi ni muhimu sana zitakuwa ni kielelezo kizuri Kwa vizazi vijavyo kuelezea jitihada za Serikali ya awamu ya sita katika kukuza utalii na ninaamini itakuwa ni kumbukumbu inayoishi.

Pia, filamu hizi zitakuwa ni chachu ya kufikia lengo la idadi ya watalii tulilojiwekea lakini inahitajika mpango na mkakati maalumu wa kuhakikisha ujumbe wa filamu hizo zinawafikia watalii wengi zaidi na kufika duniani kote.

Huu ni mtazamo wangu katika mpango wa kufikisha ujumbe wa filamu za Utalii za Rais Samia:

Kwanza, filamu hizo ziwekwe kwenye mfumo wa kufikika kirahisi Kwa maana ya kwamba ziwekwe kwenye CD au flash. Kila mtalii wa kigeni anayekuja kutembelea hifadhi zote apewe zawadi ya flash au CD yenye filamu hizo za utalii za Rais Samia. Kwa kuwa filamu hizo zinaigizwa katika hifadhi mbalimbali, hivyo mtalii aliyetembelea mikumi tu akiona na kilichopo Ngorongoro atahamasika zaidi na zaidi kwenda Ngorongoro Kwa kuwa itakuwa kwenye flash hivyo itaongeza hamu Kwa wengine kutazama.

Pili, tutumie balozi kama sehemu za kutangazia utalii nje ya nchi. Kila ofisi ya ubalozi liwekwe dawati maalumu la kutangaza utalii wa nchi yetu. Pia, filamu hizo zitakazowekwa kwenye flash au CD zisambazwe kwenye balozi zote. Hii itasaidia kuwashawishi wageni wanakuja nchini kwa masuala wanaweza kushawishika kuwa watalii. Hapa ikiwezekana balozi zianzishe ofisi za uwakala wa utalii.

Tatu, tutumie michezo na burudani nyingine kutangaza filamu za utalii za Rais Samia maana kwenye burudani na michezo ni sehemu ambazo watu wengi wanaweza kuhamasika

Nne, siasa ni utalii. Vyama vya siasa na shughuli za kisiasa ziwe na lengo la kuhamasisha utalii.

Tano, matamasha ya michezo ,burudani na sanaa yafanyike ndani ya hifadhi ili kusaidia wengi kufika hifadhini.
 
Kwani Excutive Producer wa hiyo film ni nani ? Producer na director ni akina nani

Copyright ya hiyo Film anayo nani ?
 
Ukisikiliza hizo porojo za kisiasa unaweza kuamini kweli Royal tour imechangia kuongezeka watalii hapa nchini. Tulioko kwenye utalii tunajua hakuna ongezeko lolote serious lililochangiwa na hiyo filamu ya Royal tour. Fuatilia vizuri biashahara ya utalii duniani, utakuta utalii umeongezeka kote baada ya janga la covid. Labda mseme Kila nchi rais wake amecheza filamu ya Royal tour.
 
Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi mei, 2024 na mafanikio ya filamu ya The Royal Tour.

Kuhusu mafanikio ya filamu ya The Royal Tour Mhe.Waziri amesema " Mwaka 2023 tumeshuhudia ongezeko la idadi ya watalii wa kimataifa kutoka 1,454,920 mwaka 2022 hadi kufikia watalii 1,808,205 mwaka 2023 sawa na ongezeko la asilimia 8.4". Kipande hicho cha taarifa ya Waziri mkuu kinatosha kuelezea faida lukuki zilizopatikana Kwa Rais Samia kuigiza filamu ya The Royal Tour.

Faida za ushiriki wa Moja Kwa Moja za Rais kufanya filamu ya kutangaza utalii zikiwa zimeonekana na takwimu zikifafanua, tunajivunia pia kutangaziwa kwamba kuna filamu nyingine imeandaliwa ikiwa na dhumuni na lengo kama la The Royal Tour.

Naamini mafanikio haya ni matokeo ya jitihada nyingi za Serikali kuinua sekta ya utalii nchini na hii bado inatukumbusha lengo la watalii milioni 5 Kwa mwaka ifikapo 2030 ni suala la muda kabla ya kufukiwa.

Filamu hizi ni muhimu sana zitakuwa ni kielelezo kizuri Kwa vizazi vijavyo kuelezea jitihada za Serikali ya awamu ya sita katika kukuza utalii na ninaamini itakuwa ni kumbukumbu inayoishi.

Pia, filamu hizi zitakuwa ni chachu ya kufikia lengo la idadi ya watalii tulilojiwekea lakini inahitajika mpango na mkakati maalumu wa kuhakikisha ujumbe wa filamu hizo zinawafikia watalii wengi zaidi na kufika duniani kote.

Huu ni mtazamo wangu katika mpango wa kufikisha ujumbe wa filamu za Utalii za Rais Samia:

Kwanza, filamu hizo ziwekwe kwenye mfumo wa kufikika kirahisi Kwa maana ya kwamba ziwekwe kwenye CD au flash. Kila mtalii wa kigeni anayekuja kutembelea hifadhi zote apewe zawadi ya flash au CD yenye filamu hizo za utalii za Rais Samia. Kwa kuwa filamu hizo zinaigizwa katika hifadhi mbalimbali, hivyo mtalii aliyetembelea mikumi tu akiona na kilichopo Ngorongoro atahamasika zaidi na zaidi kwenda Ngorongoro Kwa kuwa itakuwa kwenye flash hivyo itaongeza hamu Kwa wengine kutazama.

Pili, tutumie balozi kama sehemu za kutangazia utalii nje ya nchi. Kila ofisi ya ubalozi liwekwe dawati maalumu la kutangaza utalii wa nchi yetu. Pia, filamu hizo zitakazowekwa kwenye flash au CD zisambazwe kwenye balozi zote. Hii itasaidia kuwashawishi wageni wanakuja nchini kwa masuala wanaweza kushawishika kuwa watalii. Hapa ikiwezekana balozi zianzishe ofisi za uwakala wa utalii.

Tatu, tutumie michezo na burudani nyingine kutangaza filamu za utalii za Rais Samia maana kwenye burudani na michezo ni sehemu ambazo watu wengi wanaweza kuhamasika

Nne, siasa ni utalii. Vyama vya siasa na shughuli za kisiasa ziwe na lengo la kuhamasisha utalii.

Tano, matamasha ya michezo ,burudani na sanaa yafanyike ndani ya hifadhi ili kusaidia wengi kufika hifadhini.
USha jiuliza Moroco au Egypt huwa wanasambaza filamu? yue Mfalme wa Morocco kacheza filamu ngapi za kuvutia watali?

Moroco inatembelewa na watalii milion 20+ kwa mwaka ilihali Bongo na Filam zetu ni watalii 1.5 Million. Pia tambua utalii wa wanyama sio kivutio no 1 Duniai cha watalii, Bado utalii kama wa fukwe unavutia watalii wengi kulinganisha na hao Tembo wenu. Sasa Bongo tumekomaaa na Wanyama tu.

Mwisho tambua kwamba mtalii/ Watalii wana wanacho pendelea na kwenda kuona, na huwezi washawishi kwa filamu, zile filamu ni hadaaa tupu na watu kutafuta umarufu.
 
Huwa mnadanganywa sana, na ni kwa sababu hamsomi, Kabla ya Korona idadi ya watalii na idadi ya watalii kwa sasa baada ya Filamu tofauti ni ndogo sana mno, some time tofauti haipo ila ni propaganda zinafanywa ionekane kuna tofauti.
 
Ongezeko lipo kubwa tu unless kama unapigwa upofu wa kutokuona
 
USha jiuliza Moroco au Egypt huwa wanasambaza filamu? yue Mfalme wa Morocco kacheza filamu ngapi za kuvutia watali?

Moroco inatembelewa na watalii milion 20+ kwa mwaka ilihali Bongo na Filam zetu ni watalii 1.5 Million. Pia tambua utalii wa wanyama sio kivutio no 1 Duniai cha watalii, Bado utalii kama wa fukwe unavutia watalii wengi kulinganisha na hao Tembo wenu. Sasa Bongo tumekomaaa na Wanyama tu.

Mwisho tambua kwamba mtalii/ Watalii wana wanacho pendelea na kwenda kuona, na huwezi washawishi kwa filamu, zile filamu ni hadaaa tupu na watu kutafuta umarufu.
Halafu wanaamini sisi wote tunapotezwa kirahisi na propaganda.
 
Kama sio kutokana na filamu, limetokana na nini?
Utalii duniani kote umeongezeka hasa baada ya janga la covid. Na jitihada binafsi za mawakala wa utalii hapa nchini ndio zimechangia ongezeko la watalii. Hilo la royal tour linaweza kukuteka ww maana ww ndio unachukuliwa kirahisi na hizo propaganda.
 
Huyo Jamaa hawezi kuelewa Propaganda wameiongea mara kwa mara mpaka wao wenyewe wameiamini.
 
USha jiuliza Moroco au Egypt huwa wanasambaza filamu? yue Mfalme wa Morocco kacheza filamu ngapi za kuvutia watali?

Moroco inatembelewa na watalii milion 20+ kwa mwaka ilihali Bongo na Filam zetu ni watalii 1.5 Million. Pia tambua utalii wa wanyama sio kivutio no 1 Duniai cha watalii, Bado utalii kama wa fukwe unavutia watalii wengi kulinganisha na hao Tembo wenu. Sasa Bongo tumekomaaa na Wanyama tu.

Mwisho tambua kwamba mtalii/ Watalii wana wanacho pendelea na kwenda kuona, na huwezi washawishi kwa filamu, zile filamu ni hadaaa tupu na watu kutafuta umarufu.
Miondombinu bora, huduma nzuri, usafi na makumbusho ya kihistoria/ya kale ni vivutio vikubwa sana kwa watalii.
 
Back
Top Bottom