Sir Nature: Inaniuma Sana

Msukusu

JF-Expert Member
Jun 28, 2022
218
409
Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku,
Alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku,
Walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser,
Wamejaa hangover utazani jana yake walikesha,
Akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye mlango wa gheto

Nature nature kuna mtu anakuhitaji, embu toka umuone,
Kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la tina,
Ambaye alisoma DSJ chuo kile kikuu cha habari na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli, mshikaji akamuita,
Akasema huyo juma huyu hapa, sasa ongea nae muelewane, muende mkajichane.

inaniuma sana, nikifikilia huwaga nina lia,
inaniuma sana, kila ninalofanya, linakosekana, inaniuma sana hata watoto wadogo wananicheka sana
inaniuma sana, nikifikilia huwaga nina lia,
inaniuma sana, kila ninalofanya, linakosekana,
inaniuma sana demu wangu amepima amekutwa anangoma,

Ni Mwanamuziki Gani Anaweza Kuchana Verse Zaidi Ya 3 Tena Yenye Mipangilio Ya Vina Kama Sir Nature Kwa Sasa. Huu Wimbo Ukiusikiliza Kwa Makini Kuna Code Za Marehemu Fulani

20240511_205223.jpg
 
"haya sasa wewe sio msanii nenda kalipize kwenye tivii" ila nature alimoenda saana huyu mdada na nadhani kuachana kwao nature aliumia kuliko sintia
Maana inaniuma na sitaki demu ni kama alimuimbia yeye tu.
 
Nyimbo zenye hisia kaliii....
 
"haya sasa wewe sio msanii nenda kalipize kwenye tivii" ila nature alimoenda saana huyu mdada na nadhani kuachana kwao nature aliumia kuliko sintia
Maana inaniuma na sitaki demu ni kama alimuimbia yeye tu.

Palipo na chuki bhas ujue upendo ulitangulia..

Kwa kiwango kile kile bhas ujue mambo hayo yanakwenda pamoja... Kule kwetu tuna sema direct proportional..

Sinta yuko wapi siku hizi!?
 
Nature hana kipaji. Alilazimisha tu. Miziki yake mingi ilikuwa katika hiphop lakini mashairi yake hayana vina.
Kifupi tu. Nature alikuwa na upepo wa kupendwa tena na wahuni. Ila kwenye mziki sikumwelewa.
 
Futa hii!
 
Kuna utunzi wa kuzingatia vina nk na utunzi wa melody. Nature anaweza kukusomea hata gazeti kwa kukuimbia na ngoma ikawa hitsong. Kwa fikra zangu, uwezo wa nature ni next level kabisaaa. Ni rahisi kuimba nyimbo yenye vina, maana ni kuunganisha maneno yenye uwiano. Ila kuimba kwa style ya nature ni ufundi uliotukuka. Msela anakupa story ndani ya mwimbo hadi mskilizaji unaiona movie ya matukio unayoimbiwa. Wenye ufundi huu ni ferooz, Mr blue, ngwea, jay moh n wengine wachache. Hauwezi kumuappreciare sir nature kama wewe ni muumini wa ngoma lain lain yenye beats nzito nzito, ila kwa wanaojali kuuskia ujumbe kwenye ngoma iliyobekehi ufundi, nature tumemverify. Respect sana" alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwendraaaa✋🤚
 
Mwanamuziki Gani Tena Atakuja Kutoa Nyimbo Zenye Story Nzuri, Beats Nzuri Melody Tamu Hasa Hip Hop. Au Kizazi Chetu Kilishapita. Yani Kwa Sasa Wasanii Wanatoa Nyimbo Kusifia Ngono Na Pombe Tu, Wanetu Wanajifunza Nini Sababu Nao Wanasikiliza, Na Sisi Wa Miaka 90 Tushaanza Kuingia Kwenye Mfumo
 
Ndio maana mimi niliacha kusikiliza. Bado nasikiliza kina Nature tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom