Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,464
- 8,283
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha.
Kweli siasa ni nyokooo!!