scolastika why?Hopeless
Acha kuniuliza maswali ya kipumbavu.MamaSamia2025 kwa Nini unasema hivyo ndugu?
MamaSamia2025 nishauri mkuu, ushauri wako ni wa muhimu kwanguAcha kuniuliza maswali ya kipumbavu.
Nunua kamba nzuri iliyo imara halafu tafuta mti mzuri shambani kwenu kisha jitundike. Wewe huna haja ya kuandika wosia kwasababu kitu cha maana unachomiliki ni huo ujinga wako.MamaSamia2025 nishauri mkuu, ushauri wako ni wa muhimu kwangu
DuhhNunua kamba nzuri iliyo imara halafu tafuta mti mzuri shambani kwenu kisha jitundike. Wewe huna haja ya kuandika wosia kwasababu kitu cha maana unachomiliki ni huo ujinga wako.
Hakuna dhambi naichukia kama kutoa mimba...Kwa Nini unasema hivyo ndugu?
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.
Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi moja ila hakuwa vizuri sana darasani hivyo aliniomba niwe namfundisha nikaona sio mbaya nikakubali,katika kumfundisha nilitokea kumpenda lakini nilipomtongoza akawa kama sitaki nataka, akaanza kuniomba hela ya kusuka, mara matumizi yake mbalimbali na kwa sababu nilikuwa nampenda nikawa nampatia, ila Cha ajabu alikuwa hayuko tayari kunipa tendo, Wala kiss hata kumkumbatia alikuwa hataki,,nikavumilia ila sikupata kitu.
Ikafika muda wa kwenda field, Mimi nikaenda mkoa mwingine na yeye akaenda mkoa mwingine ambapo ndio kwao kabisa, pale alipokuwa akifanya Field Kuna daktari mmoja alimtongoza na Dem akajaa box maana jamaa alikuwa anavihelahela na alikuwa DMO msaidizi. Muda huo akakata mawasiliano na Mimi lakini taarifa zake nikapata kupitia rafiki zake.
Yule daktari alikuwa ana miaka kama 36 hivi na huyu dada alikuwa na 20, halafu huyu daktari alikuwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja. Ikatokea huyu Binti akapata mimba na Jamaa akagoma kuhudumia mpaka ahakikishe kama mtoto ni wake, Binti hakuwaambia kwao na karudi chuo akapanga geto na kuajiri mfanyakazi kwa hela za ada anazotumiwa muda huo Mimi na yeye tushakata mawasiliano.
Baada ya miaka miwili huyu Binti akarudi kuendelea na masomo muda huo Mimi nipo mwaka wa tatu, nilikuwa nikionana naye hamna kusemeshana Kila Mtu anashika njia yake. Siku moja njiani akanisimamisha na akaniomba namba ya simu na nikampatia, kama kesho yake akanipigia simu akaniomba msamaha na kuniomba turudiane, nikamwambia asa Wewe so ushazaa na Mtu mwingine.
Akaniambia kuwa wameshaachan na mzazi mwenzake na wanalea mtoto tu ,kwa sababu nilikuwa nampenda ikabidi nimsamehe tu na tukaanza mahusiano na yakawa matamu mpaka akawa analala kwangu Kila siku kasoro jumapili tu, ambapo kwake anakaa na mtoto wake pamoja na mfanyakazi wake, akaniambia hata geto nisiwe napika niwe nakula kwake, chakula kikiiva napigiwa simu naenda kula na nilikuwa nachangia pesa nusu ya msosi pale kwake,tukawa kama familia.
Yule mzazi mwenzake akawa anapiga simu usiku wa saa Saba au saa nane kuulizia mtoto anaendeleaje,, Ikabidi nimwambie kama kweli wameachana ampigie simu mzazi mwenzake mbele yangu na amwambie kuwa asiwe anapiga simu usiku Sana awe anapiga mapema kuulizia habari za mtoto na amwambie kuwa ana mahusiano mengine kwa sasa na kweli akafanya hivyo mbele yangu wakakubaliana Walee mtoto.
Kipindi tunamalizia semister ya pili mwezi wa saba ikitokea yule Binti akapata mimba na Akaenda nayo kwao likizo lakini mm nikamwambia siko tayari kuwa na mtoto na nikamwambia atoe Ile mimba,,alitaka abaki ailee mimba ila Nika force mpaka akaniomba nitume hela akatoe,ni kweli alitoa na mama yake alijua akanipigia simu na kunitukana sana ila nikamuomba msamaha yakaisha.
Yule Binti kiufupi alifeli tena chuo na kwao wamechoka kumsomesha wakamwambia aende kwa aliyemzalisha Ili aolewe maana Binti kwao maisha sio mazuri sana, yule mzazi mwenzake ameshaachana na mke wake wa kwanza kwa sababu ya tabia zake za kulala na wanawake sana.
Sasa Binti akaanza kurudisha mahusiano na mzazi mwenzake bila mimi kujua mda huo akaanza kuwa bize Kila mda Yani hanipi mda kuwa naye mpka akasajiliwa laini mpya na mzazi mwenzake ambayo Mimi Sina na siijui.
Sasa siku moja Akaenda kwa mzazi mwenzake akakuta jamaa kavusha demu hapo ndo akakasirika na kunihadithia kuwa alitaka aniache, niliumia ila nikakaa kimya. Sasa huyu Binti amesusa kabisa kuolewa na mzazi mwenzake kwa sababu ya tabia za jamaa mpaka mahali akakataa, asa ananitaka nimtambulishe kwetu au nimpe mimba Ili iwe gia ya kutokuona na mzazi mwenzake Ili awe na mimi, huyu Binti ana jeuri sana, kiburi, dharau na mdomo wa kutosha, nimeshajaribu kumuacha ila najikuta narudi mulemule.
Kwa Sababu ninampenda nataka nizae naye tu halafu nitulie.
Je ndugu zangu mnanishaurije, NAOMBA USHAURI WENU WAKUU BILA KUTUMIA LUGHA CHAFU
Hili swali huwaga la kijinga Sanakabla ya kuamua kutoa jaribu kuwaza mama yako angeamua vivyo hivyo
Mkuu hao wanawake waliobaki umemaanisha Hadi SSH , kina T....akson? Unataka akanyee debeNchi ya Tanzania ina wanawake 32,000,000. Kati ya hao wote, wewe umeamua kuchagua mwanamke mmoja ambae kwa maelezo yako ni "jeuri sana,kiburi,dhalau na mdomo wa kutosha" na ni malaya pia. Ina maana hao wanawake wengine 31,999,999 we hujawahi kuwaona au mwenzetu we ni kipofu? Jitathmini.
Wewe ni fala....asa matatizo yake yote unayajua,umeyaeleza hafu bado umekaza komwe,unataka ushauri au unataka watu wakushauri vile unavyotaka?Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.
Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi moja ila hakuwa vizuri sana darasani hivyo aliniomba niwe namfundisha nikaona sio mbaya nikakubali,katika kumfundisha nilitokea kumpenda lakini nilipomtongoza akawa kama sitaki nataka, akaanza kuniomba hela ya kusuka, mara matumizi yake mbalimbali na kwa sababu nilikuwa nampenda nikawa nampatia, ila Cha ajabu alikuwa hayuko tayari kunipa tendo, Wala kiss hata kumkumbatia alikuwa hataki,,nikavumilia ila sikupata kitu.
Ikafika muda wa kwenda field, Mimi nikaenda mkoa mwingine na yeye akaenda mkoa mwingine ambapo ndio kwao kabisa, pale alipokuwa akifanya Field Kuna daktari mmoja alimtongoza na Dem akajaa box maana jamaa alikuwa anavihelahela na alikuwa DMO msaidizi. Muda huo akakata mawasiliano na Mimi lakini taarifa zake nikapata kupitia rafiki zake.
Yule daktari alikuwa ana miaka kama 36 hivi na huyu dada alikuwa na 20, halafu huyu daktari alikuwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja. Ikatokea huyu Binti akapata mimba na Jamaa akagoma kuhudumia mpaka ahakikishe kama mtoto ni wake, Binti hakuwaambia kwao na karudi chuo akapanga geto na kuajiri mfanyakazi kwa hela za ada anazotumiwa muda huo Mimi na yeye tushakata mawasiliano.
Baada ya miaka miwili huyu Binti akarudi kuendelea na masomo muda huo Mimi nipo mwaka wa tatu, nilikuwa nikionana naye hamna kusemeshana Kila Mtu anashika njia yake. Siku moja njiani akanisimamisha na akaniomba namba ya simu na nikampatia, kama kesho yake akanipigia simu akaniomba msamaha na kuniomba turudiane, nikamwambia asa Wewe so ushazaa na Mtu mwingine.
Akaniambia kuwa wameshaachan na mzazi mwenzake na wanalea mtoto tu ,kwa sababu nilikuwa nampenda ikabidi nimsamehe tu na tukaanza mahusiano na yakawa matamu mpaka akawa analala kwangu Kila siku kasoro jumapili tu, ambapo kwake anakaa na mtoto wake pamoja na mfanyakazi wake, akaniambia hata geto nisiwe napika niwe nakula kwake, chakula kikiiva napigiwa simu naenda kula na nilikuwa nachangia pesa nusu ya msosi pale kwake,tukawa kama familia.
Yule mzazi mwenzake akawa anapiga simu usiku wa saa Saba au saa nane kuulizia mtoto anaendeleaje,, Ikabidi nimwambie kama kweli wameachana ampigie simu mzazi mwenzake mbele yangu na amwambie kuwa asiwe anapiga simu usiku Sana awe anapiga mapema kuulizia habari za mtoto na amwambie kuwa ana mahusiano mengine kwa sasa na kweli akafanya hivyo mbele yangu wakakubaliana Walee mtoto.
Kipindi tunamalizia semister ya pili mwezi wa saba ikitokea yule Binti akapata mimba na Akaenda nayo kwao likizo lakini mm nikamwambia siko tayari kuwa na mtoto na nikamwambia atoe Ile mimba,,alitaka abaki ailee mimba ila Nika force mpaka akaniomba nitume hela akatoe,ni kweli alitoa na mama yake alijua akanipigia simu na kunitukana sana ila nikamuomba msamaha yakaisha.
Yule Binti kiufupi alifeli tena chuo na kwao wamechoka kumsomesha wakamwambia aende kwa aliyemzalisha Ili aolewe maana Binti kwao maisha sio mazuri sana, yule mzazi mwenzake ameshaachana na mke wake wa kwanza kwa sababu ya tabia zake za kulala na wanawake sana.
Sasa Binti akaanza kurudisha mahusiano na mzazi mwenzake bila mimi kujua mda huo akaanza kuwa bize Kila mda Yani hanipi mda kuwa naye mpka akasajiliwa laini mpya na mzazi mwenzake ambayo Mimi Sina na siijui.
Sasa siku moja Akaenda kwa mzazi mwenzake akakuta jamaa kavusha demu hapo ndo akakasirika na kunihadithia kuwa alitaka aniache, niliumia ila nikakaa kimya. Sasa huyu Binti amesusa kabisa kuolewa na mzazi mwenzake kwa sababu ya tabia za jamaa mpaka mahali akakataa, asa ananitaka nimtambulishe kwetu au nimpe mimba Ili iwe gia ya kutokuona na mzazi mwenzake Ili awe na mimi, huyu Binti ana jeuri sana, kiburi, dharau na mdomo wa kutosha, nimeshajaribu kumuacha ila najikuta narudi mulemule.
Kwa Sababu ninampenda nataka nizae naye tu halafu nitulie.
Je ndugu zangu mnanishaurije, NAOMBA USHAURI WENU WAKUU BILA KUTUMIA LUGHA CHAFU
Farey_King sawa,ndo maana nikaomba ushauri nifanyeje?wewe unasemaje ndugu?Wewe ni fala....asa matatizo yake yote unayajua,umeyaeleza hafu bado umekaza komwe,unataka ushauri au unataka watu wakushauri vile unavyotaka?
proton pump Je nifanyeje ndugu?the wage of sin is death
Achana na io taka taka mdogo wanguFarey_King sawa,ndo maana nikaomba ushauri nifanyeje?wewe unasemaje ndugu?
Dokta once againHabari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.
Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi moja ila hakuwa vizuri sana darasani hivyo aliniomba niwe namfundisha nikaona sio mbaya nikakubali,katika kumfundisha nilitokea kumpenda lakini nilipomtongoza akawa kama sitaki nataka, akaanza kuniomba hela ya kusuka, mara matumizi yake mbalimbali na kwa sababu nilikuwa nampenda nikawa nampatia, ila Cha ajabu alikuwa hayuko tayari kunipa tendo, Wala kiss hata kumkumbatia alikuwa hataki,,nikavumilia ila sikupata kitu.
Ikafika muda wa kwenda field, Mimi nikaenda mkoa mwingine na yeye akaenda mkoa mwingine ambapo ndio kwao kabisa, pale alipokuwa akifanya Field Kuna daktari mmoja alimtongoza na Dem akajaa box maana jamaa alikuwa anavihelahela na alikuwa DMO msaidizi. Muda huo akakata mawasiliano na Mimi lakini taarifa zake nikapata kupitia rafiki zake.
Yule daktari alikuwa ana miaka kama 36 hivi na huyu dada alikuwa na 20, halafu huyu daktari alikuwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja. Ikatokea huyu Binti akapata mimba na Jamaa akagoma kuhudumia mpaka ahakikishe kama mtoto ni wake, Binti hakuwaambia kwao na karudi chuo akapanga geto na kuajiri mfanyakazi kwa hela za ada anazotumiwa muda huo Mimi na yeye tushakata mawasiliano.
Baada ya miaka miwili huyu Binti akarudi kuendelea na masomo muda huo Mimi nipo mwaka wa tatu, nilikuwa nikionana naye hamna kusemeshana Kila Mtu anashika njia yake. Siku moja njiani akanisimamisha na akaniomba namba ya simu na nikampatia, kama kesho yake akanipigia simu akaniomba msamaha na kuniomba turudiane, nikamwambia asa Wewe so ushazaa na Mtu mwingine.
Akaniambia kuwa wameshaachan na mzazi mwenzake na wanalea mtoto tu ,kwa sababu nilikuwa nampenda ikabidi nimsamehe tu na tukaanza mahusiano na yakawa matamu mpaka akawa analala kwangu Kila siku kasoro jumapili tu, ambapo kwake anakaa na mtoto wake pamoja na mfanyakazi wake, akaniambia hata geto nisiwe napika niwe nakula kwake, chakula kikiiva napigiwa simu naenda kula na nilikuwa nachangia pesa nusu ya msosi pale kwake,tukawa kama familia.
Yule mzazi mwenzake akawa anapiga simu usiku wa saa Saba au saa nane kuulizia mtoto anaendeleaje,, Ikabidi nimwambie kama kweli wameachana ampigie simu mzazi mwenzake mbele yangu na amwambie kuwa asiwe anapiga simu usiku Sana awe anapiga mapema kuulizia habari za mtoto na amwambie kuwa ana mahusiano mengine kwa sasa na kweli akafanya hivyo mbele yangu wakakubaliana Walee mtoto.
Kipindi tunamalizia semister ya pili mwezi wa saba ikitokea yule Binti akapata mimba na Akaenda nayo kwao likizo lakini mm nikamwambia siko tayari kuwa na mtoto na nikamwambia atoe Ile mimba,,alitaka abaki ailee mimba ila Nika force mpaka akaniomba nitume hela akatoe,ni kweli alitoa na mama yake alijua akanipigia simu na kunitukana sana ila nikamuomba msamaha yakaisha.
Yule Binti kiufupi alifeli tena chuo na kwao wamechoka kumsomesha wakamwambia aende kwa aliyemzalisha Ili aolewe maana Binti kwao maisha sio mazuri sana, yule mzazi mwenzake ameshaachana na mke wake wa kwanza kwa sababu ya tabia zake za kulala na wanawake sana.
Sasa Binti akaanza kurudisha mahusiano na mzazi mwenzake bila mimi kujua mda huo akaanza kuwa bize Kila mda Yani hanipi mda kuwa naye mpka akasajiliwa laini mpya na mzazi mwenzake ambayo Mimi Sina na siijui.
Sasa siku moja Akaenda kwa mzazi mwenzake akakuta jamaa kavusha demu hapo ndo akakasirika na kunihadithia kuwa alitaka aniache, niliumia ila nikakaa kimya. Sasa huyu Binti amesusa kabisa kuolewa na mzazi mwenzake kwa sababu ya tabia za jamaa mpaka mahali akakataa, asa ananitaka nimtambulishe kwetu au nimpe mimba Ili iwe gia ya kutokuona na mzazi mwenzake Ili awe na mimi, huyu Binti ana jeuri sana, kiburi, dharau na mdomo wa kutosha, nimeshajaribu kumuacha ila najikuta narudi mulemule.
Kwa Sababu ninampenda nataka nizae naye tu halafu nitulie.
Je ndugu zangu mnanishaurije, NAOMBA USHAURI WENU WAKUU BILA KUTUMIA LUGHA CHAFU
Ushauri wetu ni huu 👉👉👉KATAA NDOAHabari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.