Naombeni ushauri, nataka nizae naye tu kisha nitulie

Acha upumbavu basi, yaani hujui cha kufanya? Unatudhalilisha wanaume.
 
Halafu baadhi ya nyie dada zangu mnanishangaza, utakuta nimekutongoza umenikataa sawa, hee huyo mtu unaeenda kumkubalia na kuzaa nae nkimwangalia tu juu juu kuanzia anavovaa, mwonekano wake, his actions, anavyoongea, kazi anayofanya, najiona bora hata mimi ulienikataa 😂😂😂😂

Inatakiwa ukinikataa ukienda kwa mwanaume mwingine, hata nkimuona huyo mwanaume, kimoyomoyo najisemea hapa kweli huyu mdada alikuwa na haki ya kuniacha/kunikataa.

Unaacha bachelor anaekupenda, unaenda kuzaa na mume wa mtu halafu baadae unarudi tena kubembeleza bachelor uliemkataa, what kind of logic is that, doesn't make sense 😂😂😂😂 To yeye venossah Aaliyyah
Upo sahihi
 
Kama hii story ni ya kweli

Namuona mtoa mada ni boya, ila pia hata huyo mdada namshangaa, mbaba wa miaka 36 tena mwenye mke na mtoto na familia tayari, ana kipi bora kumzidi kijana mwenzio single wa miaka 25 anaekupenda na kukuhudumia?

Bora hata huyo mdada angeenda kwa mwanaume mwingine in his late 20's kijana bachelor, mwenye kazi yake ya maana, hapo ningemwelewa huyo mdada, sasa kwa mtu mwenye familia, huyo mdada alitegemea anaenda kuanzisha nini? tena alizaa nae kabisa wakati kijana bachelor hata uchi hapewi.

Kelsea Joline Evelyn Salt Zemanda Extrovert Mzee wa kupambania Equation x
Balqior ni ya kweli mkuu,,ndo nayopitia mkuu
 
Nchi ya Tanzania ina wanawake 32,000,000. Kati ya hao wote, wewe umeamua kuchagua mwanamke mmoja ambae kwa maelezo yako ni "jeuri sana,kiburi,dhalau na mdomo wa kutosha" na ni malaya pia. Ina maana hao wanawake wengine 31,999,999 we hujawahi kuwaona au mwenzetu we ni kipofu? Jitathmini.
Aisee 😂😂😂, huyu jamaa bwana wanawake kila kona alafu anasumbuliwa na mtu mmoja ambaye anaweza kuwa replaced muda wowote tena na a better version. Pussay is overated.
 
Pumbavu zako, hata waliorogwa hawawezi kuwa mazezeta kama wewe, utakufa ukiwa na miaka 30 endapo usipompiga chini huyo malaya unayejinasibu kuwa ni demu wako.
Zinn Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom