Nani sahihi wanajukwaa Kuoa

Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
1,016
1,122
Ni natumai wanajukwaa mko wazima kabisa ninakipengele hapa ninahitaji mawazo yenu nipone mwenzenu
.Nimebahatika kuwa na mahusiano na mabint watatu kihistoria wakwanza niliachan nae alinisaliti taarifa zikatwanyika hata mahali napofanya shughul huyu aliitwa joyce ni mtu wa maarifa ya utafutaji mtu wa mara mjita

.Wapili ni bado yu masomoni chuo kikuu anatarajia kuhitimisha masomo mwaka ujao jina Marry mazingira anatoka ni huko mara kabila mkulya kwa namna moja ama nyingine
..Mpole
..black beuty
..Mwema sana
..Mazingira anayoishi ni mahala pangu anapenda marafiki zake wafike sana hata nisipokuwapo
..Zawadi hupokea kutoka kwa watu mbali mbali hata sijakuwapo
..Anaupendo na ananipenda sana
..Kuna siku aliwahi leta dharau ilikua swala na kifedha
..Hata huyu amewahi nisaliti kwa kutembea na mpenz wake wa awali
..Dini anaijua haswaa
..Hapendi nikiwapo rfk zake wajue tunaishi pamoja

wa mwisho
Aminar huyu
..nimesoma nae toka chekechea mpka kidato cha nne
..yuko nyumbn huko kabila mtu wa mbeya kama sijakosea mndali
..Age tunalingana
..Ni mpharmacias
..Kwenye biashara anaamini ktk kuweka ushirikina kama daw za kujilinda
..hana kiburi japo ukimkwaza husema kitu kwa kumuhoji sana
..Ninapomkosea anatabia ya,kulia sana
..Yuko tayr haata sasa kuanza nae maish


Wote hawa wawili wamwanzo nimewajua kimwili zaid ya mara 1 lakin huyu wa mwisho ni mara,moja
dini wote wakristo wa juu kabsa msabt wawil wamwisho ni wapentekoste
wamwisho sijakaa nae kwa nyakati zote yuko mbali na mm niko mbali wala sijawahi sikia kusalitiwa au kuambiwa naye huyu wapili aliniambia alichokifanya wakwnza alificha nikajua mwenyew
kiufupi iko hivy ningependa nanijue kwa majina maan majina yana matokeo katk tabia

joyce...
mary...
amina..
 
Joyce au Amina nawapendekeza bado sijajua yupi utulie naye challenge yako ngumu kidogo ila Mary mtoto wa chuo huyo simtilii maanani sana sababu ni kuamini kwake ushirikina mean anaamini ujingA hana utambuzi uwezo wake upo chini
 
Nenda na Marry hutajuta narudia Nenda na Marry narudia tena Nenda na Marry 1.usimjaribu huyo
3.Huo ushirikina hautaishia hapo kwenye biashara utakuja hadi kwenye maisha Yako utalishwa vitu vya ajabu uanze kuumwa magonjwa yasiyoambukiza
 
Nenda na Marry hutajuta narudia Nenda na Marry narudia tena Nenda na Marry 1.usimjaribu huyo
3.Huo ushirikina hautaishia hapo kwenye biashara utakuja hadi kwenye maisha Yako utalishwa vitu vya ajabu uanze kuumwa magonjwa yasiyoambukiza
kwnn mary mkuu nisahihishe je uwazi wake
 
Samahani mkuu ila Hapo wewe ndio hufai kuoa.
Hujajitambua
Huna msimamo
Akili yako na kufikiri uko level ya uvulana
Huna mipango inayohusisha mwanamke kama mke na mama watoto katika maisha yako, hivyo hujui unahitaji mwanamke wa aina gani kukamilisha maono yako
 
kwnn mary mkuu nisahihishe je uwazi wakeni
Ni uzoefu tu mbeya nimekaa na kanda ya ziwa nimekaa hapo mkurya ana unafuu ukilinganisha na hao wengine hasa ukimuoa ana uwezekano mkubwa wa kuwa mtulivu ndoani ila mjita sorry hao huwa ni ngumu kujenga nao familia
Mndali nao ni mtihani hasa kwenye kubadirika wakiwa ndoani
 
Tatizo watu ni wabishi sana.

KATAA NDOA, LINDA KIBUNDA CHAKO.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Back
Top Bottom