TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,818
221,075
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Apumzike kwa Amani

Swedy Mwinyi.png
 
View attachment 2988858
Poleni sana wafiwa na wote. RIP
Sijawahi kumsikia maana nina some years tangu niisikilize TBC....tangu Magufuli aingie madarakani sijawahi kuifungua TBC
 
Poleni sana wafiwa na wote. RIP
Sijawahi kumsikia maana nina some years tangu niisikilize TBC....tangu Magufuli aingie madarakani sijawahi kuifungua TBC
Kama Magufuli ndiye alikufanya usiisikilize TBC, sasa ni mwaka wa tatu tangu Magufuli adondoke. Mbona hujaipa nafasi TBC chini ya utawala wa mama mfungua nchi?
 
Back
Top Bottom