Inatafakarishaaaaa...............jana mmeachanaje? 2024 anataka ndoa hujamjibuuu labdaYaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mm ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
huu nao uzi jamen?! Haya wasubiri wananzengo waje!Yaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mm ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
Na ndiyo hofu yangu hii. Usikute mpenzi wangu ana mpenzi wakeKamuwish mpenz wake
Ndivyo ilivyo kwahiyo nawewe tafuta wakoNa ndiyo hofu yangu hii. Usikute mpenzi wangu ana mpenzi wake
Unaliona dogo hili? Labda unipe mbinu, kama ungekuwa wewe ungefanyaje kulitatua.Duh hii nayo ya kulalamika
Mwaka nimeuona lkn yeye kama mtu wangu wa karibu kwann hasemi chochote ?Aisee 😃😃.. Mwaka si umeuona lakini
Mpigie huenda kaamka vibaya mkuuNimekuona lkn yeye kama mtu wangu wa karibu kwann hasemi chochote ?
Unaliona dogo hili? Labda unipe mbinu, kama ungekuwa wewe ungefanyaje kulitatua.
Daah! Kwahiyo anajitia mapana na kujimwambafai kwangu? Ngoja tuone.Hahahahaha JF bwana.
Yaani hayo mawazo uliyo nayo, na yeye ndo hayo hayo aliyo nayo