MwakiIV
Member
- Aug 31, 2018
- 79
- 137
Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam.
Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa ilhali mvua zingine tena zimeanza.
Tafadhali wahusika washughulikie na hii kero kwani wananchi waeneo hilo wamejaribu kujenga mitaro kwa pesa za kuchangishana lakini wamekwamia hapo ambapo uharibifu uliofanyika ni mkubwa zaidi.