Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,283
36,671
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.

Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodoma na Lumumba kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka.

Hiko hivi, watu wengi hawakuwa wakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni, hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha.

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.
 
Hata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.

Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
 
Sasa fikiriani watu wangapi walianza kuyafuatilia hayo matusi mtandaoni baada ya ile hotuba,makonda ni liability,
 
PDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
Mtahangaika sana tena sana na Mwamba Makonda. Naona Mwamba anawatesa sana vichwa vyenu nyumbu wa CHADEMA mpaka mnakosa usingizi. mnajuwa chini ya Mwamba mnakwenda kuambulia patupu katika chaguzi zinazokuja .
 
Katika Vita huwa kuna kitu kinaitwa propaganda. Enzi hizo Waingereza wakitoa shutuma kuhusu mambo waliyokuwa wakifanya maadui zao na kwa wakati mwingine wakitia chumvi kidogo. Maadui zao badala ya kutoa propaganda dhidi yao, wao walijikita kujibu hizo shutuma walizorushiwa. Matokeo yake watu huko Ujerumani wakaanza kupata taarifa ambazo pengine wasingezijua kabisa na kuanza kuwa na wasiwasi kuhusu vita hiyo. Cha kujifunza hapa ni bora kukaa kimya kuliko kuanza kupinga yale wasemayo adui zako kwa sauti kuu kwani hata ambao hawakuwa na taarifa kuhusu mapungufu yako watazipata kwa njia hiyo.
 
Back
Top Bottom