DOKEZO Jengo la Abiria Stendi Kuu ya Magufuli halina umeme siku ya pili, Watu wapo gizani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,321
5,490
Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme.

Leo ni siku ya pili sasa hali bado ni tete, hakuna umeme na usiku usalam wa abiria unakuwa shakani, wale ambao wanalala stendi au wanakuwepo kwa ajili ya upanda abasi ya usiku.

Jengo la Utawala umeme upo, sisi wafanyakazi tuliopo hapa hata sisi pia tunahofu juu ya usalama wetu, vibaka wapo kama wote wanasoma mchezo.

Naamini ujumbe huu ukiwafikia viongozi wetu kupita JF watashughulikia mapema.

Hii ni stendi kubwa kuliko zote za mabasi nchini lakini inatia aibu kwa kukosa huduma ya umeme.

New_Magufuli_Bus_Terminal_Mbezi_Luis_Dar_es_Salaam.jpg
 
PM analipongeza shirika la tanesco kwa kuzalisha umeme hadi wa ziada!!kumbe ni blah blah tu,hivi hii stendi haina back up ya umeme?
 
Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme.

Leo ni siku ya pili sasa hali bado ni tete, hakuna umeme na usiku usalam wa abiria unakuwa shakani, wale ambao wanalala stendi au wanakuwepo kwa ajili ya upanda abasi ya usiku.

Jengo la Utawala umeme upo, sisi wafanyakazi tuliopo hapa hata sisi pia tunahofu juu ya usalama wetu, vibaka wapo kama wote wanasoma mchezo.

Naamini ujumbe huu ukiwafikia viongozi wetu kupita JF watashughulikia mapema.

Hii ni stendi kubwa kuliko zote za mabasi nchini lakini inatia aibu kwa kukosa huduma ya umeme.

View attachment 2970126
si itageuka guest bubu sasa?
 
Ikiwa yanatokea hayo hapo, je Namtumbo, Tanganyika, Kuala, n.k hali itakuwaje?
 
Back
Top Bottom