Hizi Hapa Nchi 15 Zenye Wanawake na Wadada warembo Zaidi Africa

Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women

1. Ethiopia

2. Nigeria

3. Tanzania

4. Kenya

5. South Africa

6. Ghana

7. Zimbabwe

8. Egypt

9. Congo

10. Cote d'Ivoire

11. Rwanda

12. Somalia

13. Morocco

14. Namibia

15. Cameroon

Source: Insider Monkey

My Take

Ni Uongo kusema Kenya Ina wanawake wazuri kushinda Rwanda.

Namba 2 na 4 ilitakiwa iwe Rwanda na Somalia.
Kwa tuliona AFCON ya mwaka huu,,halafu ikose kwenye orodha...mh
 
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women

1. Ethiopia

2. Nigeria

3. Tanzania

4. Kenya

5. South Africa

6. Ghana

7. Zimbabwe

8. Egypt

9. Congo

10. Cote d'Ivoire

11. Rwanda

12. Somalia

13. Morocco

14. Namibia

15. Cameroon

Source: Insider Monkey

My Take

Ni Uongo kusema Kenya Ina wanawake wazuri kushinda Rwanda.

Namba 2 na 4 ilitakiwa iwe Rwanda na Somalia.
naij.........unamaanisha naijeria.kwanini naijeria ipo hapo kwenye list
 
Ya kwanza hapo ni South Africa. Ethiopian wanawake wao wembamba sana na warefu kama wanyarwanda halafu wana meno kama ngiri.

Unaposema taifa lina wanawake wazuri jaribu kutazama idadi sio wale unaona kwenye mitandao ya kijamii.

South Africa, Namibia, Botswana, Uganda,Msumbiji, na Tanzania haya ndio mataifa ambayo kuna maeneo ukienda unakutana na pisi hadi unajiuliza kwann zimekaa kizembe hivi.

Rwanda hapo watu huwa wanatazama zile post za Instagram ila hawajaingia ile inchi ukajionea wahutu na watusti original sio hawa wachagua kupost, mademu ni wabovu balaa.

Shuka hapo kwa mzee madiba. Unakutana na pisi ya uswazi hadi unajiuliza kwann umekulia Tanzania?

90% ya wanawake wanashape za kuzaliwa nazo kwa asili zio za kutengeneza.

Ukirudi hapo Namibia na Botswana si mchezo watoto ni wazuri balaa wamekaa na swagger kali za kupiga picha na miili mitamu balaa.

Njoo Tanzania nenda tabora, manyara, babati, mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Dodoma, singida, mtwara, hii mikoa ukikosa pisi kali 1000 kwa siku wewe utakuwa hujui wanawake watamu.

Nijeria hakunaga wanawake wazuri kwa wastani. Wanawake wa naijeria ni wabovu balaa yaani bora kenya na Uganda, sio naijeria ile inchi wamekula hasara. Mademu wao wanashape za kiume, mwili kama gitaa. Unaweza kuta demu anasura nzuri kubabake shape kama Sista P.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom