Hivi wadada wa mjini mnawezaje

Waswahili wanasema ukimchunguza Bata kamwe uwezi kumla. Mtu anaangalia tu huduma yake basi. Hakuna mapenzi ndiyo maana mtu hataki kuchunguza.
 
Hayo hayakuhusu mkuu. Wewe fanya kilichokupeleka kwa mwanamke endelea na mambo mengine. Halafu ukiwa unajitambulisha sema"Mimi ni mwanaume" siyo 'am boy. Boy wana chululuu siyo uume na hawapaswi kujiingiza kwenye masuala ya ngono.
 
Mimi nshafuata ushauri wa Kondeboy & Ibraah kitambo sana kabla hata hawajashauri (japo kondeboy bado anatolewa kamasi mpaka na mishangazi).

Huwa sina time ya kumiliki wala kumilikiwa na demu yeyote, hivyo stress za ujinga huwaga nazisikia tu kwa wana.

Nikikutana na malaya mimi kazi yangu ni kupeleka moto tu na kupita hivi, ana mpenzi ama hana hizo huwa si shida zangu.
 
Kwa malaya anaejiuza ni sawa ila kuna vinavyojifanya sincere halafu ni vinyambisi
 
Back
Top Bottom