Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,801
48,781
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....

Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama Israel itafikishwa kwenye kona, basi dunia haitabaki salama maana wataachia mavitu na kufa na yeyote kama alivyofanya Samson.

View: https://twitter.com/Osint613/status/1776192961681780991?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1776192961681780991%7Ctwgr%5E03904b660a9aa7db55babc0f6470a79341441efd%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-news%2Fdefense-news%2Farticle-795752
 
Kuna waziri wa ulinzi na usalama kama mwehu vile lawyer Ben Gvir yeye anashauri hivo kwamba wadondoshe bomu moja tu ili kuwafyeka wapalestina wote, na waziri huyo amemuonya Benjamin Netanyahu endapo Rafah haitashambuliwa Netanyahu lazima aondoke madarakani, huyo siku akiwa waziri mkuu itakuwa hatari, amezaliwa Israel amekulia Israel tofauti na akina Netanyahu ambaye ana elements za USA, huyo kama akiwa na miaka 14 alishirika maandamano ya kuminga Rabin Yazak baada ya mkataba wa Oslo accords
 
hizo zote ni mbwembwe tu...vita ni vita...kama hamasi ambao hawana utawala wowote bado wanatunishiana misuli na Israel halafu bado wameficha mateka!??... usijiamini kupita kiasi hujui adui yako kajiandaa vipi...siku watu wakisema mbwai-mbwai tu..nafikiri Mashariki ya kati. patanuka vibaya....
 
Acha kuwa chawa wa hao viumbe wasiojulikana🤣
 
Yeah yupo sahihi kabisa... Hasa kule east Africa, mitambo kama hiyo inahitajika sana kuwepo..
 
hizo zote ni mbwembwe tu...vita ni vita...kama hamasi ambao hawana utawala wowote bado wanatunishiana misuli na Israel halafu bado wameficha mateka!??... usijiamini kupita kiasi hujui adui yako kajiandaa vipi...siku watu wakisema mbwai-mbwai tu..nafikiri Mashariki ya kati. patanuka vibaya....

HAMAS ni magaidi wa uislamu wamejificha ndani ya watoto na kina mama, hivyo Israel hawawezi kupiga hapo kwa mizinga ya kufuta kila kitu.
 
Myahudi...?

Ndilo taifa lonaloamua nini kifanyike Mashariki ya kati na nini kisifanyike kwa nchi yoyote ile pale!

Cha ajabu anayeboshia hili eti ni muirani kutokea mabwepande?

Ujinga kabisa!
 
We kichaa
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....

Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama Israel itafikishwa kwenye kona, basi dunia haitabaki salama maana wataachia mavitu na kufa na yeyote kama alivyofanya Samson.

View: https://twitter.com/Osint613/status/1776192961681780991?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1776192961681780991%7Ctwgr%5E03904b660a9aa7db55babc0f6470a79341441efd%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-news%2Fdefense-news%2Farticle-795752
😄 wewe kicha kweli huko Gaza anakimbia alidhani kashinde kumbe Hamasi walikuwa wanamvuta taratibu mpaa alipo fika 18zao wameamua kumteketeza anakimbia kama kichaa sasa

View: https://youtu.be/qEqbYS23lSA?si=9_valKpCfcBHNqc4
 
Iran atalipa tuone Israel atafanya nini, mashambulio ya Iran ni saa yeyote kuanzia sasa yatatokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom