Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,303
- 22,787
Miguel Gamondi ni kocha mzuri sana Ana falsafa zake na mbinu zake, Majuzi mashabiki sisi na wadau hata wachambuzi wakalilia sana rotation, kwamba kwanini kila mechi acheze pacome? Aziz ki? Why?
Binafsi sikuwahi kusema kitu nilinyamaza tu , sababu nilijua wazi kocha huko mazoezini anaona madhaifu na ubora wa wachezaji wake kuliko sisi.
Ingawaje Leo tumeona rotation nzuri kitu ambacho ni afya kwa wachezaji na maendeleo yao.
Nashauri gamondi afanye anavyofanya na anavyoamini na sio kuingia kwenye mfumo wa mashabiki sisi na wachambuzi uchwara ..
Leo tumeona kumbe hata gift Fred nae ana uwezo pia!
Yanga bado tunahitaji tuingie sokoni kutafuta a complete striker..!
Mzize ni wa vipindi Leo anaamka vibaya na kesho anaamka vizuri..
Wasalaam..