Berryblack
Member
- Oct 3, 2022
- 33
- 31
Nimeona watu wengi wamekua wakikumbana na changamoto za kununua ardhi na hii ni kutokana na elimu ndogo juu ya mchakato upi sahihi wa kutambua mmiliki haswa wa kiwanja husika.
Kuna hii kitu inaitwa Official search: hii ni search ambayo hufanyika wizarani ama ofisi za manispaa hii huduma Mtu hupewa control number unalipia nahisi ni 40000 tu. Hapa naongelea kwa viwanja vyenye vilivyopimwa kabsa kwa sababu mostly viwanja hivyo uwa tayari kwenye mfumo na kutambulika hata kwa wale wenye hati na leseni za makazi pia unaweza do official search.
Faida za official search:
1. Hukupa taarifa zote kuhusiana na kiwanja husika matumizi ya iko kiwanja, umiliki na taarifa zingine muhimu mfano; kuna kampuni ilipima viwanja na kuwauzia watu Kumbe watu wameuziwa viwanja ranch ya taifa kesi inaendelea mahakamani.
2. Hukupa fursa ya kujidhirishia juu ya kiwanja unachokitaka.
NB: Hivyo wana jamii forum ukitaka kununua ardhi hata kama Una hela cash fanya ufatiliaji makinika kujihakikishia uhalali kiwanja husika kabla ya kuingia kwenye mikataba ambayo baadye aidha ilete hasara na kupoteza Muda mahakamani Ardhi ni Mali ya thamani ambayo hulindwa na hati pekee.