Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,962
- 21,489
Hii picha ya mwisho dah, jamaa anaonekana ni mwanachama upinde!
Hawa ni watalii km unavyojua watalii vijana hawana mambo mengi na muda mwingi wapo freeHivi hawa huwa wanatokea wapi? Na ni kweli huwa wana mapenzi na hizo timu au unafiki tu?
Umemjibu vema kabisa na huwa wale tour guide wanawaongoza kwenye major events zinazotokea ili kuwapa burudaniHawa ni watalii km unavyojua watalii vijana hawana mambo mengi na muda mwingi wapo free
Wanapenda sehem zenye mikusanyiko ya burudani
Wanaweza kuwa hawajui chochote kuhusu simba na yanga