Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.

Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.

Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.

Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Hakuna kiumbe kinachoeleweka

Na hiyo ndiyo maana halisi ya fasihi ambayo kwa kişi kikubwa imekamatwa na imani za dini au sayansi
 
Ninachoamini Kama nikikotoka sikujui(Tumboni kwa mama), basi hata nikifa sitokuwa na kumbukumbu lolote.

Kama usingizi ni nusu ya kifo ,basi kifoni hujui lolote.
 
Hivi haya maswali mnayo ulizaga huwa yana uhusiano gani na uthibitisho wa uwepo wa Mungu

HAKUNA anayejua huu ulimwengu ulifanyekaje

Mababu zako generation kama 10 tu nyuma walikua hawajui kusoma wala kuandika na wala hujui CHOCHOTE kuhusu wao....
Na wao pia walikua hawajui chochote kuhusu mababu generation za nyuma

Waliokuzaa watakufa, utazaa na wewe utakufa, uliowazaa wataaza watakufa, waliozaliwa watazaa watakufa...............

Binadamu wote tunajikuta tumezaliwa na tutakufa...... hakuna anayejua binadamu wa kwanza wala ulimwengu ulifanyikaje
Hitimisho lako ni kwamba hakuna anayejua kwamba ukimwengu umefanyikaje.

Hiyo ni sawa kulingana na ufahamu wako, ila haibadilishi ukweli kuwa ulimwengu ulifanyika. Busara ni kuwa tayari kujifunza.
 
Una uthibitisho gani kwamba ulimwengu ulifanyika?

Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.

Hakuna wakati wowote ule ambapo ulimwengu haukuwepo kisha ukawepo.
Nitakuthibitishia kisayansi na hata kwa elimu ya vitabu vya dini kuwa ulimwengu ulifanyika.

Takribani miaka biliion 14 iliyopita nyuma huko.
Kwa mantiki hiyo basi chochote chenye mwanzo kinachanzo. Hakuna effect isiyokuwa na cause.

Unaposema kila chanzo lazima kina chanzo, nimekuuliza nambie chanzo cha atom ni nini?
 
Absolutely yes.

Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,

Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
Mkuu unaamini kabisa kuwa binadamu hana chanzo(mwanzo)?

Hii mijadala ya kuumiza ubongo tuwe tunakuja na mpangilio wa rejea pamoja na evidence zake.

Vinginevyo tukubali kutokukubaliana.
 
Hitimisho lako ni kwamba hakuna anayejua kwamba ukimwengu umefanyikaje.

Hiyo ni sawa kulingana na ufahamu wako, ila haibadilishi ukweli kuwa ulimwengu ulifanyika. Busara ni kuwa tayari kujifunza.
Hitimisho lako ni kwamba hakuna anayejua kwamba ukimwengu umefanyikaje.

Hiyo ni sawa kulingana na ufahamu wako, ila haibadilishi ukweli kuwa ulimwengu ulifanyika. Busara ni kuwa tayari kujifunza.
Mkuu nipo tayari kujifunza

Nihabarishe ulimwengu ulifanyikaje KWA HAKIKA 🙏🙏
 
kwahyo naomba kuuliza, nini chanzo cha kutofautiana mfano. Wazungu, waAfrika, Wachina n.k!?
Utofauti wa races upo katika mind na body ambapo ni moja ya sehemu zinazomuunda mtu.

Utofauti huu unaathiriwa na mazingira (halijoto, vyakula). ambapo genes zinazounda mwili hubadilika taratibu ili kukabiliana na mazingira husika.

Sio kwa binadamu tu hata wanyama, utaona wa ukanda wa baridi wanakuwa na ngozi zenye mafuta mengi na nywele nyingi tofauti na wa ukanda wa joto.
 
Mkuu nipo tayari kujifunza

Nihabarishe ulimwengu ulifanyikaje KWA HAKIKA 🙏🙏
Tunayoyafahamu kwenye ulimwengu huu ni machache sana ukilinganisha na tusiyoyafahamu, hivyo basi sayansi hadi sasa haina jibu la HAKIKA ingawaje imetoa mwanga wa kuufahamu ulimwengu.

Kulingana na sayansi; time, space, matter and energy. Na bila hayo mambo hakuna ulimwengu.

Kulingana na vitabu vya dini; mwanzo(time), anga(space), ardhi(matter) na The Creator of the universe(Supreme energy).

Ukiangalia concept zote mbili zinashabiiana. Sasa wewe na mimi tunatafuta kuufahamu ukweli japo kwa kuyavumbua machache kati ya mengi, naomba unithibitishie chochote chenye sifa ya kuitwa matter kinachoweza kuishi/ kutokea nje ya muda ili nijifunze pia.
 
Mkuu
Masahihisho, TIME+SPACE+MATTER
ENERGY ni MATTER

Nijuavyo mimi nje ya hii nadharia maana yake ni kuwa NOTHING EXISTS

Nikama vile useme MAJI ni mchanganyiko wakitu fulani na kitu fulani..... which means bila hivyo vitu maji HAKUNA
 
Absolutely yes.

Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,

Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
kwanini unamwita binadamu? yaani bin adam! maana yake mwana wa adam, mtoto wa adam
hivyo basi jina lake tu linatosha kujua mwanzo wake
 
Mkuu
Masahihisho, TIME+SPACE+MATTER
ENERGY ni MATTER

Nijuavyo mimi nje ya hii nadharia maana yake ni kuwa NOTHING EXISTS

Nikama vile useme MAJI ni mchanganyiko wakitu fulani na kitu fulani..... which means bila hivyo vitu maji HAKUNA
Sahihi kabisa mkuu nje ya nadharia hizo hakuna kitakachokuepo.

Energy kama energy sio matter mkuu, inakuwa manifest katika form ya heat, light, sound. Wakati matter inakuwa katika form ya solid, liquid na gaseous. Mfano radiowaves au gammarays unaweza ziweka katika form ipi ya matter?
 
Ok ngoja nikubaliane na tafsiri yako kwamba Energy sio Matter

Turudi kwenye hoja sasa

mwanzo(time), anga(space), ardhi(matter) na The Creator of the universe(Supreme energy).

Nipe darasa hapo kuhusu uumbaji wa dunia
 
Mkuu unaamini kabisa kuwa binadamu hana chanzo(mwanzo)?
Na wewe una amini kabisa Mungu usiyemjua wala Hujawahi kumuona hana chanzo?

Nakwambia hivi, Kama kila kitu lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha chanzo lazima kiwe na chanzo.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo.

Una elewa sio?

Na kama haiwezekani dunia isiwe na chanzo hata Mungu mwenyewe haiwezekani asiwe na chanzo.

Una elewa hilo?
Hii mijadala ya kuumiza ubongo tuwe tunakuja na mpangilio wa rejea pamoja na evidence zake.
Inabidi ulete pia uje na evidence na uthibitisho wa uhakika wa chanzo cha Dunia.
Vinginevyo tukubali kutokukubaliana.
 
Nitakuthibitishia kisayansi na hata kwa elimu ya vitabu vya dini kuwa ulimwengu ulifanyika.

Takribani miaka biliion 14 iliyopita nyuma huko.
Hapa huja thibitisha wala kuonyesha ulimwengu ulifanyika siku gani exactly.

Ulicho fanya ni speculations zako tu kukisia tu.

Miaka billion 14 ni makisio yako tu.
Kwa mantiki hiyo basi chochote chenye mwanzo kinachanzo. Hakuna effect isiyokuwa na cause.
Chanzo cha dunia bado hakija fahamika na kuthibitika.

Hivyo dunia haina chanzo cha uhakika mpaka sasa.
Unaposema kila chanzo lazima kina chanzo, nimekuuliza nambie chanzo cha atom ni nini?
Chanzo cha Atom ni Dunia ambayo haija thibitika kuwa na chanzo.
 
Hapa huja thibitisha wala kuonyesha ulimwengu ulifanyika siku gani exactly.

Ulicho fanya ni speculations zako tu kukisia tu.

Miaka billion 14 ni makisio yako tu.

Chanzo cha dunia bado hakija fahamika na kuthibitika.

Hivyo dunia haina chanzo cha uhakika mpaka sasa.

Chanzo cha Atom ni Dunia ambayo haija thibitika kuwa na chanzo.
Nitaweza kukubaliana na wewe endapo tu uta verify uwezekano wa matter kuishi nje ya muda.

Unaposema chanzo cha atom ni dunia, vipi kuhusu stars na objects zingine zilizo nje ya dunia ambazo chanzo chake ni muunganiko wa atoms.
 
Universe kwa ujumla ndio chanzo cha kila kitu.

Nje ya hapo hakuna kitu.
 
Ok ngoja nikubaliane na tafsiri yako kwamba Energy sio Matter

Turudi kwenye hoja sasa

mwanzo(time), anga(space), ardhi(matter) na The Creator of the universe(Supreme energy).

Nipe darasa hapo kuhusu uumbaji wa dunia
Uuambaji uliofanikishwa na Supreme power umebase katika imani, utaelewa vizuri ukisoma mwenyewe kupitia vitabu vya dini. Umeenda mbali na kuelezea hata chanzo cha mtu, kwani alitokana na Supreme energy, hivyo huyo mtu akabeba sifa za kuishi nje ya muda(umilele), kwani hiyo Supreme power ilikuwepo hata kabla ya muda na itaendelea kuwepo hata baada ya muda. Hii ni kwa mujibu wa theory za dini.

Uumbaji uliobase kwa theory za Big bang umebase zaidi kwa logic ambapo unaonesha muunganiko wa tiny particals(atoms) kutengeneza object, na kwasababu particles zina masses hivyo zinakuwa affected by gravity, mwisho wake inatokea object kama stars, human being and so on. Lakini pia bado kuna dark matter nyingi tu still ni fumbo kwa science.

Sasa kwa theory zote za science na dini ukiziangalia kwa makini zinashabiiana na pia zinatofautiana. Mimi ukiweza ku verify kuwa kuna object inayoweza kuishi nje ya muda( umilele) nitakubaliana na wewe kuwa ulimwengu hauna chanzo.
 
Mkuu mimi sijui chanzo cha dunia

Scriptures za kidini zimejaa hekaya tupu na zinapingana kwasababu zimeandikwa na watu tu kama wewe

Sayansi haijui, ilichofanya ni kutengeneza THEORIES tu

Scriptures na sayansi wanatofautiana sana

Mimi ni muumini mzuri wa sayansi lakini Napata tabu sana kuanza kutumia theory za kisayansi na imani za vitabu kujua ulimwengu umefanyikaje
 
Kwa mentality uko nayo utafahamu mengi kama utatia bidii kutafuta maarifa maana uko flexible kujifunza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom