Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,504
4,304
Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.

Video imeambatanisha.

NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari

Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la azizi ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.

Video imeambatanisha.

NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari

Kwanza lugha uelewi kinachosemwa halafu jambo la pili ni kwamba kwa kivuli kilichowekwa, mpira umeonekana upo nje ya kivuli kwa maana umezidi kwa asilimia 100
 
Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la azizi ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.

Video imeambatanisha.

NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari

Kweli Yanga ya kimataifa..hii hatua kubwa ,wanazidi kupata mileage
 
Waache longo longo

Kwa nini VAR iliyokuwepo uwanjani hawakuprove tuone wote tunaotazama. Kwa nini walifanya siri siri kuonesha walichogundua kuhusu lile goli ?

Japan alifunga goli world cup qatar ambalo lilionekana mpira umetoka nje , refa akauliza VAR

VAR ya uwanjani ilionesha picha pale pale angle zotee. Kisha ndio uamuzi ukatolewa na mpira ukaendelea
 
Back
Top Bottom