Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vilabu 16 vimepiga kura kukubali kuweka mpaka wa matumizi katika usajili, ada ya wakala wa mchezaji na mishahara kwa wachezaji.

Idea ni kuondoa advantage kwa timu zenye msuli wa kifedha zisitumie pesa zake kufanikiwa kimpira.

Timu 3 zimepinga hii kanuni mpya. Timu hizo ni Site, Nyumbu na Villa. Kenge wakajitoa kabisa katika kupiga kura.

Hii ikiwa rasmi maana yake mateso ya nyumbu na kenge yataendelea. Wanahitaji kusajili na kujenga kikosi ila sasa kuna mipaka ya kutumia pesa.

Tusubiri tuone
 
Vilabu 16 vimepiga kura kukubali kuweka mpaka wa matumizi katika usajili, ada ya wakala wa mchezaji na mishahara kwa wachezaji.

Idea ni kuondoa advantage kwa timu zenye msuli wa kifedha zisitumie pesa zake kufanikiwa kimpira.

Timu 3 zimepinga hii kanuni mpya. Timu hizo ni Site, Nyumbu na Villa. Kenge wakajitoa kabisa katika kupiga kura.

Hii ikiwa rasmi maana yake mateso ya nyumbu na kenge yataendelea. Wanahitaji kusajili na kujenga kikosi ila sasa kuna mipaka ya kutumia pesa.

Tusubiri tuone
Miaka ya mbele wapinzani watapata tabu sana....tuna mijitu ya kazi sasahivi tumepelea watu kama wanne hivi tuwe na kikosi cha kufukuzisha makocha kazi...wailete hiyo kitu Ili tujue ypi anashinda kimpira na yupi anatumia mauzauza
 
Juzi Madrid kapelekewa moto ,shukran ziende Kwa Lunin angekuwa Kepa wangepigwa hata 3


Bayern Munich wamepata on target 1 sijui hawajapata kabisa vs Lazio


Niliwahi kusema humu UCL timu nyingi zile giants ni zimeshuka


Madrid namuomba usiku na mchana,

Timu ambayo itatuumiza kichwa ni Mancity maana mbinu ni nyingi , Wachambuzi wanasema Arsenal ni Moja ya timu chache sana zinazoweza kumtoa city kule UCL akifuatiwa na Inter Milan


Binafsi naomba Mancity atolewe wakimshindwa turapambana nae wenyewe

Na wasiwasi Madrid au Bayern kuna mmoja hatafika nusu final,viwango vyao Kwa UCL haviridhishi ,nilisema toka mwanzo mwa msimu


Kwa kiwango Cha Madrid ile na leipzig angekutana na Arsenal Hii au Mancity wangempiga si chini ya goli 3.


Habari njema ,mechi 15 za mwisho tutakuwa na full squad ,


Habari njema nyingine

Iwapo Chelsea atasonga mbele kwenye FA cup vs Leeds ,basi mechi ya Arsenal vs Chelsea itasogezwa mbele ,hivo kuanzia tarehe 12 had 30-31 ,Arsenal hatutakuwa na mechi yoyote ,hii ni likizo nzuri kama ile ya Dubai , hizo ni wiki mbili kabisa ,kumbuka hapo injuries zitakuwa zimerejea

Partey anayetarajiwa week ijayo vs Porto
Vieira atakuwepo vs Porto
Timber atakuwepo vs Porto 2nd leg
Tomiyasu amesharejea
Jorginho amesharejea full training
Jesus amesharejea but atapumzika week hii
Zincheko amesharejea but ,anaweza akapumzishwa
Smith rowe pia atakuwa amerejea ,Arsenal walichukua tahadhari but Hana injury kubwa


Kwasasa hadi mwisho wa mwezi huu mechi zilizopo zipo ndani ya uwezo wetu kukusanya points zote

Tunaanza na Burney
View attachment 2905054
Hapa wakati makande ndo yameingia tu tumboni jamaa akashushia na maji.🤣🤣🤣

Ukiachana na kichekesho kama ichi Wenger orphans walitoa vichekesho vingi sana yani🤣🤣🤣
 
Bro, tuna wasiwasi jamaa anaumwa au kuna shida flani. Ile 5g tu tuliyompiga Chelkenge ilitosha kumfanya mwenzetu aonekane usiku ule ule, ila mpaka leo holaa.
Kama ndio hivyo tumuweke jamaa kenye sala zetu apate nafuu ya haraka aendelee kutuletea burudani hapa. Maana huwa anawapa moyo sana mambo yakienda yoyo washika mitutu.
 
Kama ndio hivyo tumuweke jamaa kenye sala zetu apate nafuu ya haraka aendelee kutuletea burudani hapa. Maana huwa anawapa moyo sana mambo yakienda yoyo washika mitutu.
Jamaa aumwi wala nini ashasema kile kipigo cha Aston Villa kimemfanya a focus na biashara yake ya kuuza jezi kule Twitter X kule X muda wote. ana post vitu hapa naona anaogopa kupigwa mawe kwa comment zake na lijamaa uwaga alikomi.🤣🤣🤣🤣

Kweli Bayern na Aston Villa ni kiboko hata ile account ya busara za gwiji la Highbury hakuna tena🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa aumwi wala nini ashasema kile kipigo cha Aston Villa kimemfanya a focus na biashara yake ya kuuza jezi kule Twitter X kule X muda wote. ana post vitu hapa naona anaogopa kupigwa mawe kwa comment zake na lijamaa uwaga alikomi.

Kweli Bayern na Aston Villa ni kiboko hata ile account ya busara za gwiji la Highbury hakuna tena
Nitumie DM account yake ya X nimuendee hukohuko, haiwezekani akatema bungo mapema hivi na kuwaachia msala chawa wake
 
Jamaa Twitter anatumia jina gani
Chawa wake tumfollow na kupata nondo za mjini Highbury pale
Giwiji la Highbury lipo kamili gado mjini twitter linashusha madini. Sema kutoa jina la account labda atoe mwenyewe 😀

Ila kumtafuta ni rahisi sna kama kweli una nia. Mimi haikuchukua hata dakika 5 kuipata account yake masingeli twitter 😀
 
Back
Top Bottom