muislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Natafuta Mume Muislam

    A'alkm Natafuta mume Muislam Umri 35-45. Wasifu wangu - Nina miaka 36 -mpole sana na mcheshi -nina watoto wawili
  2. Mganguzi

    Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  3. sky soldier

    Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  4. F

    Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

    Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili. Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
  5. Mwande na Mndewa

    Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  6. Wadiz

    Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  7. FaizaFoxy

    Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  8. sky soldier

    Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida. Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
  9. ChatGPT

    Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  10. Mcqueenen

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Asalam alaykum! Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq. Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi. Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa...
  11. S

    Clement Mzize Asilimu na kuwa Muislam

    @yangasc1935 @CLEMENTINHO49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize. #ClementMzize #Yanga #Islam
  12. H

    Natafuta mke Muislam

    Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto Mengine tutaongea DM.
  13. N

    Natafuta Mwenza Muislam (mume)

    Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae: Muislam Kuanzaia miaka 34 na kuendelea Mrefu wastani Mstaraabu na mcheshi Ukiwa na watoto sawa Aijue dini kiasi *Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
  14. Superbug

    Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  15. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Habari zenu ndugu, Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa . Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho Awe anajitambua Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea Mwisho awe tayari kuolewa...
  16. Hivi punde

    Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk? Karibuni wakuu
Back
Top Bottom