Search results

  1. C

    Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

    Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza kuanzisha. 1. Kwa 1m unaweza kununua piki piki (boxer) used ila ina hali nzuri na ukaanza nayo...
  2. C

    Wahadhiri wa vyuo vya Bongo lecture zote hutumia Kiswahili kwa 90%, mtihani wanatunga kwa Kiingereza tena cha misamiati mikali

    Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati terminologies na concepts, na ukichanganya kiswahili na kiingereza kujibu mtihani wake ana kupa...
  3. C

    Mke kaninunia hii ni siku ya tatu kisa nimemsema kwa wazazi wake kwamba kapasua simu yake kubwa kwa hasira

    Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu zake na kujibu sms zake kwa wakati. Nimekataa kumnunulia simu kubwa tena, ameninunia mpaka basi ila...
  4. C

    Kwanini maisha ya Ulaya yana stress pressure fatigue kuliko mtu anayeishi Tanzania?

    Kwanini ukiishi nchi za wenzetu zilioendelea zenye ajira nyingi, maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miongoni mwa watu ziko high mpaka kusababisha high blood pressure, Ulaya kutembea na kifaa cha kupima mapigo ya moyo ni sehemu ya maisha ya kila siku, hyper...
  5. C

    Rafiki yangu kamwagiwa maji machafu ya chooni na mkewe kisa amemtangazia nia yake ya kufanya mathinaa

    "Never under estimate the mind of a woman" anaweza kukufanyia lolote la ajabu bila we kulitegemea, mgine alikatwa umme wake kule Shinyanga na mkewe kimasihara kwa sababu ya wivu wa kua na mke wapili. Wanaume kama una lengo la kuoa mathina au mke wa pili lifanye mapema kabla mke wa kwanza...
  6. C

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Watumishi kuwa na finance literacy ni muhimu ili kutoboa maisha haya, wewe ameajiriwa take home ni 1.5m unamiliki gari IST, unapanga apartment ya 250,000 per month, unaenda bar kila Jumamosi na Jumapili, una michango ya jamii unalipia maji na umeme, huwezi kutoboa maisha hata ukienda kwa mganga...
  7. C

    Rais Samia ashiriki kwenye swala ya Iddi Fitri Msikiti wa Mfalme Mohamed VI

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Aprili 10, 2024 ameshiriki Sala ya El-Fitri katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco uliopo makao makuu ya BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. #AzamTVUpdates
  8. C

    Oeni wanaoendana na tamaduni zenu, mtatuletea laana. Kamuogesha mkwe wake sasa madhara yameanza kuonekana

    Huyu Kaka tulisha mshauri tangu ana oa aache kuoa mke asie jua tamaduni au miiko la kabila letu, sasa ona kilicho tokea hayo makabila ya kiswahili swahili hawana miiko ndo maana unakuta wengine wana oa Dada zao kabisa eti ni mtoto wa baba mdogo au ni mtoto washangazi ndo maana wengi huzaa...
  9. C

    Viongozi wa juu jifunzeni siasa sio professional (Ujuzi), tutumikie jamii zetu baada ya kustaafu siasa

    Baada ya kustaafu siasa Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, baada ya kuiongoza Iran kwa Miaka 8 na kuondoka madarakani kwa kuukabidhi Urais kwa Rais Mpya Bwana Hassan Rohani, alirudi Darasani kufundisha wanafunzi. Katika miaka yake 8 ya Urais wa Iran, Ahmadinejad hakupokea mshahara wa...
  10. C

    Nyumba za 60m zinaweza kuleta 2m kila mwezi kama kodi?

    Wenye kuwekeza uzoefu na ujuzi kwenye real estate bussiness ni kweli 60m naweza kujenga rentals za kunipa 2m per months kama kodi, kiwanja kipo dar es salam maeneo ya Goba. Nijengo la aina gani ambalo linaweza kuleta faida hiyo chumba sembure au vyumba self. Au compelete house, frames haizekani...
  11. C

    Hii tabia ya kuingia kwe nyumba cha ATM na watoto wadogo miaka 4 hadi 12, sio mapenzi kwa mtoto ina madhara yake

    Vijana wengi wa tumishi na wasomi wa hivi karibuni wana penda sana kuonyesha mapenzi yao kwa familia zao changa kwa kuingia nao ATM wakati wa kutoa pesa hususani tarehe za mwisho wa mwezi ndugu zangu huo ni ushamba, na kuharibu mwanao kua kwa kumjengea fikira kwamba pesa inapatikana kirahisi...
  12. C

    Rais wa Senegal ameingia Ikulu na wake zake wawili ameapa kupambana na ushoga nchini mwake

    Rais mpya wa Senegal aliyechaguliwa kwenye duru ya kwanza Faye mwenye mwaka 44, ameingia leo Ikulu na wake zake wawili, Marie Khone ambaye amedumu nae takribani miaka 15 kama mke wa kwanza na wana watoto wa nne, Absa ndo mke wa pili ambae amekaa nae zaidi ya mwaka. Ameapa kupambana na ushoga...
  13. C

    Jionee umasikini ulioko India na jinsi wanavo pambana nao

    Kwa hali kama hi hamna Muhindi inae weza kuja Tanzania na akushindwa kutoboa maisha, watanzania wengi tumedekezwa kazi yetu kulalamika lalamika wakati hi nchi ina fursa za kiuchumi za kutosha kabisa,
  14. C

    Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

    Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha...
  15. C

    Kwa hiki nilichoshuhudia huu mpango wa uzazi wa kuzaa watoto wawili au watatu siwezi kuufanya

    Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikuwa na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? Kumbe siku hizi hata wakristu walisha acha fikra za kizungu za kuzaa watoto wawili wana fiatua kweli kweli nje na ndani...
  16. C

    Rais wa Senegal (elect) kaingia na wake zake wawili kwenye sherehe ya kupongezwa ushindi

    Suali langu kuu ni kwamba first lady ni office ya kikatiba sasa kwa hali kama hii Rais akiwa na wake wawili, watakuwa wanapokezana au kutakuwa na office mbili za first ladies, au mke mkubwa ndo atapewa cheo hicho? Kijana mdogo miaka 44 ana wake wawili unakuta wanaume wazima miaka 60 kiongozi...
  17. C

    Sitakuja kurudi kliniki za chanjo na maendeleo ya makuzi ya watoto peke yangu bila mke au msaidizi wa kazi

    Leo kiherehere cha kujifanya msomi civilazed mwenye kupenda haki sawa kimeniisha nilivyompeleka mwanangu wa siku 42 kliniki peke yangu bila kuwa na mama yake ndani ya chumba cha kliniki kwa kumuacha kwenye gari eti alikuwa ana kizunguzungu. Nimejikuta nimepoteza confidence/kujiamini na aibu...
  18. C

    Senagal imechagua Rais kijana kuliko nchi yoyote Afrika

    Population structure za Africa vijana kati ya miaka 18 hadi 50 ni wengi kuliko wazee miaka 51 hadi 80, lakini kwa mara nyingi vijana wanashawishika kuchagua wazee na kuacha vijana wenzao kwanini? Kwa mfano Tanzania vijana ni 63% lakini haijawahi kutokea Raisi wa miaka 40s kuchaguliwa licha ya...
  19. C

    Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

    Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri...
  20. C

    Hivi nyie wanaume mnawezaje kulea na kusomesha watoto wa wanaume wenzenu kwenye shule za private

    Siwezi kufanya kitu kinachopinzana na instinct yangu siwezi kulazimisha jambo, kulipia 4m@ kila mwaka kwa watoto wawili wa mke au previously (singo maza), wenye majina ya mwanaume aliekuwa anamlala na kumzalisha huyu mke wa sasa, mbona akili zinagoma, sawa ebu nionekane uncivilised mshamba, ila...
Back
Top Bottom