Mkuu ndoa za utotoni zina ongozwa na Africa India ya pili pakistan afghanistani ya sita neenda google upate data "child marriage" kama utaiona Tanzania kua katika 10 bora. Acheni propaganda za Wazungu mue mnachuja taarifa zao.
Western propagandist hamna ukweli wowote, hizo propaganda ndo zilichezewa Africa kwa mda mrefu ili kujustify misada yao, mbona hawaandiki kuhusu ushoga unao fanywa kwa watoto wadogo katika mafunzoni ya dini
C unaona upumbavu kama hu, wewe unafikiri kila mtu anafuata utamadini wenu wa kimakonde, India mpaka leo huo utamaduni wanao mtoto kutafutiwa mchumba angali mdogo ila mahusiano huja badaye akikua sasa nyie hufikiri kwa mihemuko na chuki zenu.
Sawa hamna kuoa kwa msingi ipi leta hiyo video kuonyesha hao watoto wadogo wanao nunuliwa, ndoa za utototoni zipo sana hata hapa kwetu watoto umri wa miaka 15 hulazimishwa na wazazi wao kuolewa neenda shinyanga pwani zazibar nk kama utazikuta bora mtoto aolewe mapema kuliko kuchezewa nado lengo...
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Hata shule za primary na sekondari ni biashara tayari watu kuwekeza pesa zao nyingi ila elimu inashuka kwasbb lengo lau ni kufaulu mitihani sio kuelimisha watoto, na serikali kama key regulator imeshindwa hata kusimamia shule zake yenyewe, inafaulisha tu kwa kuwapa marks za bure.
Mnasahau jambo moja kwamba hata Marekani hutegemea soko la LDCs kwa bidhaa zake, umasikini wa Africa haumanishe kwamba hamna good quality income earners hata kupita baadhi ya watu katika nchi za Ulaya na Marekani out of 1 2bn African kuna population ya zaidi ya watu 300m ambao wana high annual...
Biashara za watu zinakufa watu wamekopa pesa wajawekeza kwa kujenga maghorofa wana daiwa na benki pesa, suala la kupandisha vigezo vya kujiunga na vyuo ni tishio kubwa kwa biashara zao, wala sio la Uzalenda au kielimu hayo yote ni kutishia wizara ekejeshe vigezo vya awali........
Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Ila mkuu majina ya surah sio kwamba ya litoka kwa Allah, hapana haya majina ya surah imetumwa na maswahaba na khalifa Abubakar( ra) kwahoyo sioni cha ajabu chochote hapo.
Wewe endelea kulinganisha wake wa miaka ya 60s 70s na hawa wa kwetu wa miaka 2000, mueke ndo utaona tofauti zao, acha maisha ya kuiga kwa baba, baba ako kaishi generation tofauti na wewe unaishi generation nyingine.......we kopa pesa uweke mkeo mualimu utarudi jf na mada nyingine tofauti
Hamna kazi ngumu kama ya msimu hasa ukiwa Tanzania kwasbb msimu ukifika kila mtu anaingia mpaka bei inashuka kabisa sasa hivo kilo ya mchele Mwanza ni 1200. Kuna wengi walio nunua kwa 1800 wamesha pata hasara kubwa loh,
Nani kakuambia mimi ni nguli kwenye hiyo idara, just try to be critical katika kufikiri biashara kulingana na eneo uliopo na uwezo wako, epuka biashara inao weza kufanywa na kila mtu, haihudumu ina leta ushindani mkali na kugombania wateja mwishowe mtaji unakata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.