Search results

  1. N

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Haumtakii mema mwenzako wewe
  2. N

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Ukiona maelezo ya aina hii bila shaka unatoka kwenye kabila ambalo halina sifa nzuri
  3. N

    Nilivyotongozwa na msichana baa

    Hapa ndipo mnaponiachaga na maswali. Hivi wanaume wa jf wote hakuna anaepiga pisi mbovu?
  4. N

    Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

    Sasa tutamuoa bila kutest mitambo?
  5. N

    Dkt. Aaron Mujajati: Punyeto haina madhara ikifanyika kiusahihi

    Mnapandikizwa uoga tu ili watu wapige pesa, hili sio tatizo kubwa kivile ni saikolojia tu za watu zimealibiwa kutokana na matangazo kila kona. Kuna wanawake kibao wana matatizo ya nguvu za kike lakini hauwezi kusikia matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kike, Unajua ni kwanini? Kwasababu iyo...
  6. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Unaambiwa ukweli umekazania pesa pesa ndio maana nikakwambia wewe ni kapuku ambae umechanganyikiwa baada ya kumiliki iyo hela kwa mara ya kwanza, wenye uwezo wa ku-stake kiqsi hicho na hawana mawazo ya kupoteza huwa hawajitangazi. Yaani unafikia mpaka hatua ya kutukana mama za watu kisa 900k
  7. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Izo izo unazoziamini ndizo zitakuchoma, game za fainali ni ngumu sana usibet kichwa kichwa. Hata kwa upande mwingine return utakayosubiri kwa izo wiki 3 ni ndogo sana ukilingasha na return utayoitengeneza ukizungusha iyo hela kila wikiend. Yaani uweke 900k kusubiri faida ya 500k baada ya wiki...
  8. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    We jamaa fala kweli yaan unastake 750k ili upate 790k, ungekua karibu yangu ningekutandika makofi.
  9. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Hakuna anaekuchukia shida yako una mawazo ya kimasikini kumiliki 900k unaona ni mafanikio makubwa ya kuchukiwa na wengine. Umeleta mkeka kuomba ushauri cha kushangaza anaekushauri tofauti unamtolea lugha ya kejeli sasa kama ulikua na uhakika na mkeka wako si ungelipia tu bila kutaka ushauri wa...
  10. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Weka iyo stake dortmund akushangaze. Real madrid anapigwa iyo game wale wajerumani wanacheza kwa nidhamu sana wakishikilia bomba mpaka penati lolote linaweza kutokea hata iyo fainal ya fa man u akiwa amekamilika usishangae man city akakalishwa
  11. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Wewe kapuku tu haujui kubet wala hauna jeuri ya kuweka stake ya 900k unachangamsha genge tu hapa., wanaoweka stake ndefu huwa hajitangazi wana uhakika na chaguzi zao kwaiyo mpaka kufikiria ku-stake parefu ashafanya uchambuzi wa kina hana haja na mawazo ya wengine. Hakuna gamble hapa hata iyo...
  12. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Huna lolote wewe ni mjinga tu. Na huo mkeka unachanika, kati ya man u au dortmund kuna mmoja anaalibu shughuli hapo, game ya fainali watu wanapambana kwa jasho na damu sio ya kuichukulia poa
  13. N

    Wadau nataka nitie laki 9

    Odds ndogo kiasi hicho nazo ni za kusubiri kwa wiki 3? Jpl tu hapo kuna mechi kibao
  14. N

    Miguel Gamondi kwenda Kaizer Chiefs?

    Timu inalipwa ndio, lakini gamondi mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu maana alisaini yanga mkataba wa mwaka mmoja.
  15. N

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Hapa unataka kumpotosha mwenzako aishie kufirisika tu. Kimsingi kwa wanawake wa leo hivi ni vigezo muhimu sana mwanaume kuwa navyo
  16. N

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Ungepita hata dispensary ya karibu nawe kuomba ushauri kwa dokta ungepata jibu sahihi zaidi.
  17. N

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Kwamba kumuelewesha mtu ni ishara ya kuumia? Hii nchi kwa kutukuza ujinga bhana 😀😀😀
  18. N

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Tatizo sio kufeli form 4, tatizo ni njia ulizotumia kwenda madarasa ya mbele baada ya kufeli form 4. Wasifu wake unauonesha nape kasoma Elimu ya Advanced Certificate of Secondary School katika shule ya Butimba TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000. Wakati Butimba TCC haijawahi kuwa na shule ya...
  19. N

    Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

    Nililitamani sana kombe la CAF champions league, yule refa alitufanyia ukatili mkubwa sana
Back
Top Bottom