Search results

  1. K

    PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

    Hizo alizoelekezwa mkuu ni sahihi. Maana Graseofulvin hutibu bacteria za ndani zinazochafua damu na mchafuko wowote wa ndani ya damu. Fluconazole hutibu kila aina ya fangasi sugu na aina zote za STD/STIs hata pangusa inatibu hata kaswende na kisonono pamoja na fangasi aina zote. Clotrimazole...
  2. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mkuu shangazi huyo we aya tu shangazi naye baba.
  3. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Li'aliyyul-Adhwiim.
  4. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    🤣🤣🤣🤣Acha bas. Hivi SHANGAZI umeolewa na tuna mabinamu!?
  5. K

    Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

    1)John Pombe Joseph Magufuli. 2)Edward Sokoine. 3)Yassir Arafat. 4)Ebrahim Raisi
  6. K

    Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Kiufupi mkuu mwanamke ni kiumbe asiyeeleweka. Ndio maana mwanamke anapokwambia nipe talaka harakisha sana. Shida wanaume wengine sisi ving'ang'anizi.
  7. K

    Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    We una uhakika alikua malaya!? Je kila anayechepuka basi alikua malaya!? Futi hii kauli ya kitoto na kiduwanzi mkuu,hao viumbe ni wa kubadilika wakati wowote kiasi ukasema humjui kama ulivyokua wamjua zamani.
  8. K

    Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Msing'ang'anie hizi mbususu zitawaua. Ona sasa team "KATAA NDOA" wana point tatu! Wanawake bwana ni vituko! Unamuacha mtumishi wa umma unaenda kwa bodaboda🤣🤣🤣. Mwanamke ni kiumbe kisichoeleweka kinataka nini.
  9. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Dunia ina vimbwanga hii mkuu. Huyo anayesemwa alijisisitiza na kujizatiti kuwaye wa kike. Ilaaa🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣Mungu ndiye ajuaye
  10. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Nakubali shangazi🙌🙌🙌
  11. K

    PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

    Graseofulvin peke yake haitasaidia. Apate na Fluconazole maana hiyo yaonekana ni kama maambukizi ya bacteria wa magonjwa ya zinaa.
  12. K

    PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

    Kapige graseofulvin 4 weeks. Kapige na Fluconazole 4 weeks. Na Clotrimazole cream ipake hadi iishe.
  13. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ulaya ama Marekani si sawa na bongo mkuu. Kesi ya mke na mume si sawa na ya mtoto. Watoto hukutana kucheza pamoja na kuichangamsha jamii kaka. Hivyo kuwalinda wao ni muhimu sana,suala la mke na mume ni personal. Watoto hukutana mashuleni,michezoni na maeneo mengine,je mtoto aloyeharibika...
  14. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hamna nimeshangaa tu! NISAMEHE shangazi nashangazwa na nayosikia. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  15. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ushoga hauna dini. Ukristo hauruhusu ushoga ila kuna wakristo wa hurka zao ndio mashoga. Hata waislam mashoga wapo mkuu,je tuseme uislam unaruhusu ushoga!? Huu uchafu ni hurka ya mtu husika si dini. Uislam haujaruhusu kutusi imani za wingine mkuu,kama wewe muislam litambue hili.
  16. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Kirefu chake LGBTQ. L-Lesbian. G-Gay. B-Bisexual. T-Tranny/Transgender. Q-Question.
  17. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Majini wana jinsia mkuu ndio maana nao wanazaana. Majini wapo wakike na wakiume. Kila kiumbe Mungu kakiumba katika jozi ya kike na kiume. Isipokua wana uwezo tu wa kujibadili kimaumbile.
  18. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mkuu mbona nashindwa kuamini aisee!!? Mbona mwenyewe anadai ni mwanamke!?
  19. K

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Àaah mkuu sio kila anayevaa flana ya kola kubwa ni mlaini. Hiyo ni fashion tu tuwie radhi aiseee.
Back
Top Bottom