Ukielewa unachokipenda zaidi, wekeza muda wako kwenye hicho kitu na ujiongeze thamani, hakuna adui mbaya kama anayekupotezea muda na ndicho utakipata ukitafuta anntention kwa watu.
Usiogope watu, wakikuuliza kwanini uko hivyo waambie huwezi kuwa wao na hawawezi kuwa wewe.
Mwisho kabisa, dawa...
Ultrasonic sensor zinatumia Infrared radiation ku sense warm object. Mwili uliokufa ni baridi.
Kama hiyo taarifa ina asilimia 100 ya ukweli basi tujiandae kustaajabu.
Hao wa hivyo ni wa shoo za nje tu utakufa kwa stress mkuu.
Huwa tuna oa mwenye utayari na akili iliyopevuka, makalio ukitaka hukosi ni urefu wa kamba yako tu.
As long as unafuata kweli jibu linaweza kuwa ndio ama sio, imani ndio itakupa kweli na sio dini.
Na imani inakuja kwa kusikia( kuelewa) neno la Mungu.
Kumbuka waliomsurubisha Yesu walikuwa ni watu wa dini, haimaanishi kuwa walikuwa ni waovu hapana ila walijihesabia haki kulingana na sheria ila...
Dini ni culture, alisali kwa wayahudi sababu alizaliwa kwenye culture ya kiyahudi.
Hivyo hata akija leo atasali popote pale ila mafundisho yake yatabeba kweli na sio culture ya dini, kama alivyofanya kwa wayahudi wakamsurubisha.
Hayo ni mawazo yangu na sio facts.
Kipindi tuko secondary miaka ya 2008- kuna vijana wenzetu tuliokua nao tangia utotoni mtaani sasa ghafla tu walibadilika wakawa ni watu wa itikadi kali sana hata ile kujumuika na sisi kwenye michezo wakakata kabisaa afu mazungumzo yao yalijaa sana chuki dhidi ya wasioamini kama wao.
Mara ghafla...
Walivyomshtukia angekuwa mjanja angezuga kuwa ile comment ya kuumwa ni kwamba alikuwa ana mjoke mleta uzi kisha akatulia.
Ila siku ikifika badala ya kukanyaga breki unajikuta unakanyaga moto.
Hapo ndipo tatizo lilipo, umoja wa africa hakuna unachofanya.
Geographic location yake tu ilivyo hakawezi kufurukuta bila msaada wa majirani zake, nafikiri ukiachilia mbali huko anapopata support ila pia kuna shida kubwa ndani ya huo umoja wa africa
So kumbe mamlaka inatumia power badala ya authority kuendesha mambo yake, watakuja kumsaliti hadi ashangae.
Kimsingi kale ka nchi hakana uwezo wowote wa kupambana na tz, ni vile tu watu wanakapamba.
Ok nimekuelewa, je unafikiri uwezo wao wa akili ni mkubwa kulinganisha na uwezo wa wa tz, nipe facts maana siamini kama wana uwezo huo hata kiakili.
Wanachoweza kutuzidi ni uzalendo na ndio silaha kubwa wakiitumia kila kitu kinawezekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.