Search results

  1. Even MOre

    SoC04 Uozo mifumo ya maombi ya ajira za serikali

    Nimekuwa nikifatilia muda mrefu sana toka Serikali imebadili baadhi ya maombi ya ajira kuwa yanaombwa kwa njia ya mtandao (Online Application) nina kama miaka 4 sasa nafanya kazi hii ya kusaidia watu kutuma maombi kwa njia ya mtandao (Internet services) pia huduma ya mifumo ya Kiserikali. Hoja...
  2. Even MOre

    Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Habari wana jamvi. Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa CCM hasa vikundi vya wanachama wao ndivyo vinapewa mkopo. Niko Mkoa x na ninafanya...
  3. Even MOre

    Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

    Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza mpaka hali niliyonayo kwa sasa. Nipende tu kuwaomba wale wenye itikadi za kidini kukaa pembeni...
Back
Top Bottom