Namaanisha mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 14
Ni kidato Cha pili!
Mwanafunzi huyu anatuhumiwa kumpa mimba Mwanafunzi wa kike kidato Cha kwanza miaka 13 ya umri
Mwelekeo ni kwamba wote wanapaswa kufukuzwa shule! Naam wamefukuzwa leo!!
Hoja yangu Ni kwamba Ni ushahidi gani uwe wa...
Kuna dogo mmoja Ni ndugu yangu wa mbali!
Amepatwa na hekaheka ya kutotakiwa shuleni pamoja na wenzake kadhaa!
Msimamo wa mkuu wa shule ni kwamba hawawahitaji wanafunzi hao shuleni kwake, hivyo wazazi wawatafutie shule zingine
Hii ni shule ya serikali ambayo miongozo ya kuwasimamisha wanafunzi...
Ndugu!
Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule
Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara
Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu
Karibuni kunipa elimu
Sent from my Infinix X657 using...
Tanzania imetawaliwa na CCM, kwa miongo yote Hadi hivi Sasa! Maendeleo yapo ingawa siyo yaliyotarajiwa kufikiwa hadi sasa iwapo CCM kwa miongo hiyo yote ingekwepa Vita ya Uganda, Ukombozi wa Nchi za Afrika, Ufisadi, Uzembe kazini, uuaji wa Viwanda na mengineyo!
Kwa Sasa vyama vya upinzani...
Wazee tufundishane hapa!
Kwenye maisha yetu Kama waume hii inatokea Mara nyingi tu. Mzee penzi limenoga kwa mchepuko, mara tu mimba hii hapa.
Wengine wanakataa ujauzito na mahusiano yanakufa!
Wengine wanaamua kuondoa mimba fasta, ili maisha yaendelee!
Wengine wanalea ujauzito na mtoto kwa...
Mwamposa ni motooo!
Taifa linatetemeshwa kwa miujiza mbalimbali ambayo kila leo Mungu anawatendea watu wake kwa njia ya Mtume wake mtakatifu!
Majuzi alikuja Mtwara na wengi wameponywa, pepo wametupiwa mbali na viwete wametembea!
Kuna ndugu mmoja kasema alihudhuria huko, na ametoa shuhuda kuwa...
Kwa mwalimu mwajiriwa wa serikali, ipi Ni Masters Bora Kati ya tajwa hapo juu?
Wadau wa Elimu karibuni kwa mawazo!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dear friends!
Nimejiuliza muda mrefu Sana, na sipati muafaka.
Imekuwa hivi kwamba mwanamke hulalamikia matendo ya waume kwenye ndoa, ama mahusiano ya kawaida kimapenzi kuwa ni wenye ubinafsi. Mwanaume hujali hisia zake tu! Mwanaume hujali matamanio yake tu, na kutaka maisha yaende kwa mtazamo...
Vilio Ni vingi!
Ooh ni viiingi saana!
Hawa wameuana kwa wivu wa mapenzi, huyu amejinyonga, yule anakonda amesalitiwa, mmh makubwa haya!
Kwenye nyumba ile, wazazi hawana amani juu ya watoto wao wa kike! Vischana vimepevuka, vifua vimetuna, vitako vimebinuka tayari. Kwanini Sasa wazazi, hawana...
Nawapongezaa TRA kwa kazi mzuri za ukusanyaji! Japo naumia Sana kwa hiyo theluthi ya mapato munayoitia mifukoni mwenu! Mungu yupo anawaona!
Wigo wenu wa ukusanyaji unapanuka kadri miaka inavyokwenda!
Mwaka 2037 mutakusanya nyingi zaidi ya sasa japo Rais huyu hatakuwepo!
Hio inamaanisha kuwa...
Wajuzi wa hili waseme neno!
Kuwa na jengo la kutoa huduma za vipimo vya afya, inalipa?
Kama mjuavyo watoto wetu wanagraduate na Hamna ajira!
Mzazi wa Sasa ana jukumu la kusomesha mtoto Kisha kutoa ajira!
Sometimes kumbukizi za zamani zinafurahisha!
Nakumbuka hadithi tamu nilizosoma nyakati zile!
Moja ya ambazo sizisahau ni story ya Ali!
Ali ni mtoto mtundu
Alisikia kwamba, ukifuata nyuki utakula asali.
Ali alipenda Sana kula asali.
Ali alitembea kandokando ya maua.
Aliona nyuki wanarukaruka
Ali...
Wapumbavu wanaotetea ubinafsishaji (ashakum si matusi) Wana hoja kadhaa!
Ila moja iliyo strong kwao ni wizi wa fedha za umma kwa watendaji wa Taasisi!
Huu Ni upumbavu!
Kwa nini utoe rasilimali zako kunufaisha jirani kisa mwanao ni mwizi?
Wapumbavu Hawa wanasahau Serikali inazo mamlaka...
Nawasalimu nyote!
Niwakumbushe wakristo, hususani wakatoliki kujibidisha katika kusamehe watu, kabla nyakati za hatari hazijafika!
Ukumbuke Sala yako ya kila siku, ile Sala ya "Baba Yetu..." iliyoachwa na Yesu Kristo, ile inayofundishwa na kanisa kwa vijana wa kanisa, kwenye mafundisho ya Holy...
Nawasalimu nyote!
Leo nimeamua niweke kichwa cha mada kwa kiingereza!
Nimshukuru jamaa yangu aliyenitengenezea maneno haya, maana mwenyewe ingenishinda!
Nimeambiwa kuwa English inapunguza ukali wa maneno, labda Mods watauhifadhi huu uzi wangu
Ajenda yangu Ni ile ile ya kujaribu kutoa Elimu...
Salamu zenu nyote!
Mtakubaliana na Mimi kuwa Rais wetu alipoapishwa kuendeleza kijiti Cha Urais, alipania kuendeleza Yale aliyoyafanya JPM.
Kwanza, alitoa kauli iliyoashiria ukuu wa mamlaka kwa kuweka wazi hatopenda kuchezewa na mtu, Kama ambavyo Magufuli hakupenda!
"Anayesimama hapa ndio Raisi...
Nawasalimu nyote!
Ndoa ni Jambo la furaha kwa baadhi ya watu.
Si watu wote maana wazee wa kataa ndoa, nawaona wananicheki kwenye darubini kwa hasira. Siku ya harusi Ni full shangwe kwa maharusi, wazazi pande zote, ndugu jamaa na marafiki, mabibi kwa mabwana!
Wakati maharusi wakiwa na furaha...
Nawasalimu nyote!
Mada hapo juu yahusika!
Kwa kufahamu kuwa wapo waalimu wa vyuo vya Kati humu ndani, ambao awali walikuwa wanafundisha shule za Sekondari, nimeona nilete ombi hili la kuwasihi walete namna mbalimbali ambazo wao ziliwawezesha kuingia huko!
Je, walifanyaje kuhamia vyuo vya...
Nawasalimu nyote!
Nianze moja kwa moja kutaja mambo ambayo muziki umechochea katika Jamii, upande Hasi na upande chanya
1. Reggae
Imechochea Imani ya Upendo na Amani miongoni mwa vijana
Imeplay role kubwa ktk mapambano dhidi ya unyanyasi wa mzungu kwa mwafrika!
Imemsaidia kijana mwafrika...
Nawasalimu!
Nimekuwa nikiwaza Sana! Sometimes inauma Sana unapowaza Jambo ambalo haliwezi kutokea. Naam, si rahisi kuwa na Muungano na USA. Lakini, je, ni kweli haiwezekani? yes haiwezekani kabisa! Hapa shida si Raia wa kawaida wa Tanzania, bali wanasiasa waliowekeza maisha yao ktk siasa. Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.