Habarini za jioni wapendwa.Kuna wakati nilisoma kitabu kimoja ivi " ndoa yangu"Kilikua kinaeleza sababu ya ndoa nyingi kuvunjika au kutokua na amani.Mojawapo ya sababu ni kwamba kuna watu humu duniani hawajaumbwa kuoa wala kuolewa.Watu hawa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu tu ya mitazamo ya...
Habarini za asubuhi wapendwa.Jamani inasikitisha izi habari za vitendo vya kinyanyasaji wanazofanyiwa wanawake wa mkoa wa Mara.Naombeni wanajumuia wote wa mkoa huo mjaribu ata kufanya kongamano la kupinga ivo vitendo popote mlipo.Jana tu nmesikia kwenye taarifa ya hbr uko butiama jinsi mwanamke...
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka plasta iyo cku hakunyonya kutwa nzima.Ucku alilia mpka ikabid ntoe last a anyonye.Naombeni (esp.women)...
Jamani kuna anae angalia ITV muda huu? Ivi wanachoimba ni sawa, bado rasimu aijaanza kujadiliwa bungeni wenyewe wanaimba serikali mbili ndo mpango mzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.