Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote.
Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa?
Je mnataka kumpeleka mahakamani...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Bayogesi ni nini?
Kwa mujibu wa Lucía Fernández wa Statistica (Feb 8, 2023), Bayogesi ni mchanganyiko wa gesi ya methane na hewa ya ukaa (kabonidayoksaidi)...
UTANGULIZI : Kumekuwepo na malalamiko mengi sana kutoka kwa watanzania kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa serikali wakiwa ndani ya ofisi za Umma.
Hii kero imekuwa ya muda mrefu na ambayo...
Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa...
Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa...
Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha...
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji...
Nakumbuka vizuri kuwa ilikuwa ni mwaka 2001 nilipoanza kutumia dawa za kulevya aina ya bangi.Tofauti na watumiaji wengi wa dawa hizi kuanza kuzitumia wakiwa kwenye umri wa balehe ambao kwa wengi...
Hello
kwa miaka mitatu nipo hapa na niye nikiwapa vijana wenzangu ndugu zangu ABC za biashara ya viatu
Makala namba 1
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/36816184
Makala namba 2...
Ninashauri serikali ije na mkakati mahususi kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa,
Kupitia nguvu ya uhamasishi, ushauri na usimamizi wao wananchi unufaika na utekelezaji wa miradi kadhaa...
Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto...
Utapeli wa kimapenzi kwa sasa umeshamiri katika jamii yetu. Vijana wengine wanachukulia kama imekua fasheni. Katika jamii ya sasa imekuwa ngumu kujua yupi mwenye mapenzi ya kweli au uongo. Yupi...
UTANGULIZI
Kuna fasihi pana ambayo inaunga mkono kwamba urasimishaji wa ardhi utawapa wamiliki wa ardhi manufaa ambayo ni pamoja na: dhamana ya kupata mikopo; kuongeza motisha ya kuwekeza kwa...
Na DON YRN.
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara...
MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa...
KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu...
MAAJABU YA NG'WANA MALUNDI
---
Mwandishi:Saadala Muaza
Utangulizi:
Mwanamalundi ni miongoni mwa watu waliokuwa maarufu sana katika jamii ya wasukuma mnamo karne ya 19.Jamii ambayo kwa kipindi...
Utangulizi.
Baada ya kuja kwa ubepari , uhuru wa watu kufanya Biashara popote ilichangia kuwa na muingiliano wa wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Dunia .
Hapo ndipo walanguzi wakubwa...
Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.