Hapa napenda kuzungumza na kijana wa kitanzania aliyehitimu elimu ya juu na kuingia mtaani kusaka ajira.Kuna dhana moja iliyojengeka miongoni mwa vijana kwamba unapovua kofia yako kusherehekea...
MAMANTILIE
Hii ni biashara ambayo watu wamekua wakiuchukulia kawaida lakini imetoa ajira kwa watu wengi katika miji mingi na Leo hii watu wamenufaika sana hivo kwa mtu ambae unahitaji kubadili...
Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii.
Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya...
Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo wetu wa elimu unapumulia mashine kwa sasa.
Mazao yanayozalishwa na mfumo huu yamedoda sokoni, Hali si Hali, ni muda sahihi sasa wa kufanya mabadiliko.
Mfumo wa...
Huu ni uzi kwa ajili ya wale ambao wameajiriwa hasa katika sekta binafsi kwa ajili ya kuwatia moyo wa kukuza uchumi wao.
Mimi ni mhitimu wa degree ya masuala ya Sayansi.Miaka 6 iliyopita, nilikua...
UTANGULIZI
Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa makubwa yanayosumbua afya za binadamu, Shinikizo la damu laweza kuwa tatizo liliotokana na madhara ya magojwa mengine ya mifumo ya mwili au...
Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira ulimwenguni, serikali na wadau mbalimabli husisitiza dhana ya kujiajiri. Jamii inaamini kuwa kujiajiri ndiyo tiba mbadala ya janga la ukosefu...
Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia...
Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika...
Katika mpango wa kidunia unalenga kufikia 2030 Mwanamke asibakie nyuma katika maendeleo endelevu ya kidunia, juhudi mbalimbli ufanywa na taasisi za kidunia, vyombo mbalimbali katika Serikali...
Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya...
Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula kwenye mashamba na ufugaji wa wanyama wanaofugwa. Lakini pia kilimo kinahusisha ufugaji wa nyuki na ufugaji wa samaki.
Aidha kilimo...
Utangulizi
Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe...
Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi...
Habari za leo wakuu.
Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya...
Hello
Mimi ni ndugu yenu innocent kirumbuyo kwa miaka miwili nimekuwa nikiweka story biashara ya viatu
1) Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha
2) Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba...
Hali ni mbaya!
Chanzo: Mwananchi, Tani 7,400 za mahindi zakosa soko (2014)
Nilikuwa Kilombero, na kama masihara, gunia la mchele lilikuwa linamwagwa mbele ya uso wangu jalalani. Nisingeamini...
Kwanza nipende kuwapongeza wanafunzi wote mliofaulu katika masomo yenu ya Advanced level yaani kidato cha sita na hivyo mnatarajia kujiunga na masomo ya Elimu ya juu (Chuo kikuu). Niliona kuna...
UTANGULIZI
Dunia imekuwa ikishuhudia mlipuko wa magonjwa toka kwa wanyama kwenda kwa binadamu na kushuhudia vifo vingi vikitokea tangu zamani sana, ugonjwa wa tauni ni moja ya magonjwa...
Katika Kutatua Changamoto Mbalimbali za maisha kuongea na kunyamaza ni njia ambazo zimekuwa Zikitumiwa na Watu.
Ingawa Watu wengi Wamekuwa na dhana potofu ya kwamba kukaa kimya kwa wakati wote ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.