KWELI Threads

  • Sticky
  • Article
Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa...
24 Reactions
55 Replies
31K Views
  • Article
Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua. Je, suala hili lina ukweli?
2 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Article
Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Article
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na maswali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za...
10 Reactions
82 Replies
10K Views
  • Article
Kuna wazandiki huwa nawashangaa wanavyoponda pombe. Pombe haina madhara kama wanafiki wanavyotuaminisha. Pombe ni nzuri ukinywa kistaarabu, ina faida lukuki, ukibisha muulize Albert Chalamila...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Article
Salaam, Wakuu nimepata wenge baada ya kuona taarifa inaeleza watu 155 wamefafiki kwa Mafuriko Tanzania. Sijakutana na hii habari. Na hata Mtandao wa X (Twitter) wengine wanapata mashaka kama Mimi...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
  • Article
Habari JamiiCheck, Nimeona taarifa mtandaoni inayosema Pele ndiye mchezaji pekee duniani aliyeshinda Kombe la Dunia mara 3. Naona kama wanapotosha, inawezekana vipi asiwepo mchezaji mwingine...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
  • Article
Nimekutana na hii mtandaoni kwamba Clownfish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike. Tusaidieni kuihakiki.
0 Reactions
6 Replies
757 Views
  • Article
Hivi ni kweli kuwa ukomo wa kurefuka na kunenepa kwa uume ni miaka 20? Yaani mtu mwanaume mwenye umri wa miaka 25 au 30, kamwe hawezi ku experience ongezeko la ukubwa wa uume wake? Kwa maana...
8 Reactions
98 Replies
21K Views
  • Article
Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata wakati akiwa na hasira basi anatengeneza sumu kama vilivyokuwa kwa wanyama (kama nyoka) na hivyo inaweza hata kukuua, kwa...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
  • Article
Wakuu, Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu...
0 Reactions
10 Replies
864 Views
  • Article
Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Article
Huwa navutiwa sana Historia za wanamke shupavu ambao walifanya mambo ya kuacha alama kwenye jamii zao na kukumbukwa mpaka sasa. Katika pitapita zangu kwenye machapisho nikavutiwa na historia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article
Nimeona taarifa mtandaoni ikisema watumishi wa Umma na Binafsi ambao wamechangia kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 katika NSSF au PSSSF sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya...
7 Reactions
75 Replies
7K Views
  • Article
Ninaomba kufanyiwa uhakiki wa taarifa kuwa 'Watu wanaochelewa kulala wapo hatarini kupoteza maisha mapema'
0 Reactions
0 Replies
594 Views
  • Article
Habari wakuu, Kumekuwa na mawazo tofauti juu ya hatari ya mnyama Nungunungu. Kuna baadhi wanaamini kuwa Nungunungu hurusha miiba kujilinda na adui yake wakati wengine wanadai mnyama huyu harushi...
4 Reactions
4 Replies
825 Views
  • Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka...
3 Reactions
0 Replies
773 Views
  • Article
Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa homa ya ini vimeripotiwa Kuongezeka kwa kasi barani Afrika. Pia, baadhi ya nyaraka zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa idadi ya visa vya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Article
Je, ni kweli kuwa watu wenye stress hula sana na matokeo yake huwasababishia uzito kupita kiasi?
6 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Article
Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Back
Top Bottom