DOKEZO Threads

Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
A
Anonymous
Habari watanzania na wana CCM, Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kwamba watu wanao takiwa kupewa vibali ya kazi na uhamiaji ni wale Expert tena na wao ni kwa muda fulani, lakini nashindwa kuelewa pale napo kutana na walinzi wa...
0 Reactions
1 Replies
363 Views
Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Salamu wakuu: Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina).... kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana. Wanauza bidhaa...
2 Reactions
100 Replies
10K Views
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama. Kwa sababu hakusema kuwa fedha...
29 Reactions
75 Replies
6K Views
  • Closed
Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa. Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi...
73 Reactions
786 Replies
125K Views
Back
Top Bottom