Yaani kwa kauli hii, kuna uwezekano team nzima ikavunja mkataba kwa sababu wachezaji wana haki ya kuvunja mkataba muda wowote wanaojisikia, mpira hauko hivyo ndugu.... umesajili kikosi chako cha msimu na huna haki ya kuongeza mpaka dirisha la usajiri afu wachezaji 13 waamue kuvunja mkataba...
Mkuu ninaweza kutenga 600000 kwa mshahara wangu, nisaidie stratergy ya kujenga nyumba ya vyumba 3(kimoja master), sitting, kichen, store na public toilet,
NB, kiwanja kipo 30mx30m na mawe ya msingi trip 25 zipo tayari site
You commented before Nelson scored, though the way Arsenal anacheza unaijua vizuri sana... Nelson hawezi kuwa Saka, so usitegemee atakupa Saka performance.. Ila ana vitu vyake vyakutupa pale atakapoitajika
Huduma nilifungiwa, ila changamoto ilipojitokeza ya kukosa huduma ndo ubovu wa customer care ilipojitokeza... Kutatua shida ilichukua kama siku 10 tena za kuzunguka sana ofisini kwao... Technician wao unawapigia simu hawapokei, ukifika ofisini ndo wanajifanya kukuchangamkia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.