Recent content by Natafuta Ajira

  1. N

    Ni aibu kwa bunge la Tanzania kususiwa na wananchi

    Kumbe kuna vikao vya bunge vinaendelea.!
  2. N

    Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    😀😀😀 hata sisi tumeambiwa tuwapende, Mungu hajatupa maagizo ya kuwapa hela.
  3. N

    Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    Nipe connection dada angu, sitawaandama tena.
  4. N

    Usiogope kuoa au kuolewa.

    Kwanza shikamo mzee wangu, bila kukuvunjia heshima ukweli ni kwamba kwa sasa ndoa hazina uzito kama ilivyokua wakati wa kizazi chenu. Mwanaume anataka sehemu ya kumaliza nyege zake na mwanamke anaangalia masilahi yake, ndoa na mahusiano ya kimapenzi kiujumla yamekua mtego atakaeingia kwenye...
  5. N

    Usiogope kuoa au kuolewa.

    Tunajua ushayatimba, wewe pambana uko uko kwenye ndoa yako, usituingize mkenge
  6. N

    Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    Likishaitwa tatizo maana yake katika kulitatua umekutana na ugumu ambao upo nje ya uwezo wako kwa wakati huo either kifedha au kimaarifa kwaiyo ni suala la kuchagua kipi unamudu umalize mwenyewe au kipi kimekupiga knock-out ukifikishe kwa Mr.
  7. N

    Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

    2000's ndicho kizazi cha kwanza kuleta long-term consequences za ufeminia na utandawazi kwenye jamii, yote tunayoyashuhudia ni matokeo ya kumpa mwanamke unlimited freedom, mababu zetu hawakua wajinga kuiwekea mipaka hii jinsia. Kwa sasa kila binti unaedate nae ana mtoto mdogo either analea...
  8. N

    Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    Hii ndio saikolojia ya muafrika aliyomaanisha jamaa maana kagusa na upande wa mwanaume pia tunajua mapenzi sisi ni providers tu. Ofcourse hata mimi siwezi kuruhusu mpenzi wangu aingie gharama wakati najua uwezo wake ni wa chini au mdogo sana ukilinganisha na uwezo wangu., kwa hii kesi yako hapa...
  9. N

    Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    Umewachokonoa pabaya, ngoja waje
  10. N

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Haumtakii mema mwenzako wewe
  11. N

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Ukiona maelezo ya aina hii bila shaka unatoka kwenye kabila ambalo halina sifa nzuri
  12. N

    Nilivyotongozwa na msichana baa

    Hapa ndipo mnaponiachaga na maswali. Hivi wanaume wa jf wote hakuna anaepiga pisi mbovu?
Back
Top Bottom