Recent content by mwenye shamba

  1. mwenye shamba

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Pole dada yangu,ukiona hivyo ujue baraka zimekukaribia.
  2. mwenye shamba

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    nilikuwa kwa lazima.siku hizi panaitwa hexad
  3. mwenye shamba

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    ndio mkuu niliendelea japo baada ya kupata ajira serikalini niliacha
  4. mwenye shamba

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    kwa kifupi ile siku ndio ulikuwa mwisho wa kumwona,hatukubahatika hata kufukua shimo ili kumtoa
  5. mwenye shamba

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Mgodini huko Lwamgasa Geita, nilikuwa shimoni nachoronga mwamba, kumbe huko juu kuna sehemu ilikuwa na ufa wa muda mrefu tu, kutokana na milipuko ya mara kwa mara hiyo sehemu ufa ukawa unazidi kutokea. Siku hiyo nikapiga kazi mimi na jamaa yangu(rip Mangu aka ntuzu man)ghafla udongo ukaanza...
  6. mwenye shamba

    Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

    Mimi hata meno yakiotea ukeni bado moto atapelekewa tu,bora uume usagike kuliko kukosa utamu wa papuchi.ccm oye?
  7. mwenye shamba

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Hawa wenzetu huwa wanajikuta keki sana wakati muungano wao ndio wananufaika nao zaidi.Kwa akili zangu za darasa la 7 ni bora kuuvunja ili kila mmoja apambane kwa namna yake.
  8. mwenye shamba

    Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu

    Kwa nini isiwe mbalali black stars? Kwa maskani yao yasiwe mbalali? Tumeshahama kwenye dunia ya kufanyana watoto wadogo,kama sio yake abadilishwe wizara aende wizara ya wazee jinsia na watoto tuone kama haijashuka daraja.
  9. mwenye shamba

    Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    ukimegewa kwanza unaanza kujiona upo level za chini kushinda kitu chochote
  10. mwenye shamba

    Mwizi akiibiwa polisi hawalali.

    Kitaalamu tunasema mbwa kala mbwa! Kwa sheria za dunia wote wamepoteza.
  11. mwenye shamba

    Rais Samia Amewatetemesha Watanzania

    Mwashamba hivi ukiwa kama mwanamme unajisikiaje kuwa na tabia ya kusifia watu hata pale ambapo hapahitaji kusifia?Je kichwani zipo sawasawa?
  12. mwenye shamba

    Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?

    Mwambie apambanie uchumi kwanza aache kupoteza muda kudhani anapendwa na jini.pia ahakikishe anapata chakula kamili na cha kutosha aachane na habari za mlenda,kisamvu na matembele kwa ugali wa mtama.
  13. mwenye shamba

    Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Nchi hii viongozi wanawaona wananchi ni vinyesi vyao tu. Wanavihitaji vinyesi wakati wa vipimo tu. Hakuna haja ya kufatilia mambo yanayoumiza moyo na hayachukuliwi hatua,huo muda ni mara mia nikamtafuta mrembo monika aje anipunguzie nyege.
  14. mwenye shamba

    Tumsaidie huyu kimawazo

    Nawaza tu kama ndiye mimi baba mlezi.Ningemwachia MUNGU lakini pia ningetemana na mama yake,maana mtoto mpaka anakomaa hivyo ujue kabisa kuna kolabo na mama yake.
  15. mwenye shamba

    Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Hakuna kanuni,nilioa bikra,akaja kutombwa na idd kisa rifti ya gari,tangu hapo ndo nikagundua talent yake kuwa ni malaya haswa,labda ungetushauri tusioe wanawake wenye mashepu kama yale walioahidiwa ndugu zetu katika imani,maana kutombewa mwanamke mwenye shepu ni sawa na mwanamme wa kimasai...
Back
Top Bottom