Recent content by mkabasia

  1. mkabasia

    Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

    Umenikumbusha mbali Sana Eve enzi hizo naishi Mwanza.
  2. mkabasia

    Naogopa kuwa mama

    Sijawahi kuogopa kuwa mama.Kila Jambo likifika wakati wake unajikuta Tu unaweza kuliishi.Binafsi nna watoto watatu wote bado wako primary.Katika hao watoto last born Tu ndo namwamsha.First born(girl) anaamka mwenyewe na kujiandaa, second ni mvulana std two anaamka mwenyewe anabandika maji ya...
  3. mkabasia

    Mitungi Empty ya GAS 300 inauzwa Kampuni Mihan/Taifa

    Siku nyingi sana umepotea jukwaani.Karibu
  4. mkabasia

    Saba wafariki kwenye Ajali Dumila, Morogoro

    Pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao.Majeruhi Mungu awajalie uponyaji wa haraka.
  5. mkabasia

    Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    Humu Kila mwaka tunasemwa.Tupeni break jamani.Mambo yanabadilika wachaga wa Jana sio wa Leo.
  6. mkabasia

    Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

    Kweri urikua na siku mbaya.Japo sijasoma Hadi mwisho.Kwa hiyo uritoa Hera au hukutoa.
  7. mkabasia

    Facial treatment / matibabu ya uso

    Hapo kwenye facial treatment sasa.Ngozi kavu unaitreat vip.Kuhusu lotion hapa nimestick kwenye potia m lotion,oil na serum.
  8. mkabasia

    Facial treatment / matibabu ya uso

    Hivi unaweza Paka vyote, sunscreen na serum kwa wakati mmoja.?
  9. mkabasia

    Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

    Mwanzoni nilimsave sweet heart ikaja darling,then hubby sasa mine forever.
Back
Top Bottom