[emoji23][emoji23][emoji23] anajaribu kukimbia kivuli chake mwenyewe....alishawahi kusemaa SIMBA Ni lidude likubwaaa!! Eti saivi anapinga....aliye mpumzisha usemaji kamsaidia sanaaa kwakweli
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Aliyewahi kuwa mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez huenda akawa mwenyekiti mpya wa bodi ya wakurugenzi Simba, kuchukua nafasi ya Salim abdallah 'try again' ambaye anatajwa kujiuzulu nafasi hiyo.
Source: sportsarena_tz
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hakika Kuna Pisi moja Kali nilipiga pasaka, muonekana safiiii kabisa ila baada ya kumvua Pichu ni majanga.
Kiharufu, hamu ikapungua ikabidi nipige kimoja TU Cha kulinda heshima na kujipooza gharama nilizotumia
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wote wametolewa kimataifa, unahisi Yanga atakubali kupoteza au kupata sare kizembee???
Hapana ndio jibu sawa???
Ukizingatia ana kikosi kizuri sioni Simba akiwa bingwa hata kwa Bahati mbaya
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kuna shida kubwa Sanaa hasa kwao hao viongozi wawili
Kwanini wasiachie tu nafasi/ kujiuzulu??, Hamna Cha maana walicho fanya zaidi ya kuleta kina sawadogo, jobe nk. Hayo ndio mafanikio yao
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi.
Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 45 baada ya kucheza mechi 19 vinara ni Yanga wenye pointi 52.
Meneja wa Habari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.