Search results

  1. franckkimm

    Mikasa/vituko vya lodge

    Hii noma sanaa Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  2. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Mbet Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  3. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Hoja YAKo inafikirisha mkuu, kongole kwako!!! Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  4. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    [emoji23][emoji23][emoji23] anajaribu kukimbia kivuli chake mwenyewe....alishawahi kusemaa SIMBA Ni lidude likubwaaa!! Eti saivi anapinga....aliye mpumzisha usemaji kamsaidia sanaaa kwakweli Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  5. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Barbara ana exposure mkuu....nahisi inaweza kuwa uamuzi sahihi Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  6. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Sio alitaka, alilia kweli kweli Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  7. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Yule wa "I WILL PROMISE YOU BABRA" au?? Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  8. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Aliyewahi kuwa mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez huenda akawa mwenyekiti mpya wa bodi ya wakurugenzi Simba, kuchukua nafasi ya Salim abdallah 'try again' ambaye anatajwa kujiuzulu nafasi hiyo. Source: sportsarena_tz Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  9. franckkimm

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Hakika Kuna Pisi moja Kali nilipiga pasaka, muonekana safiiii kabisa ila baada ya kumvua Pichu ni majanga. Kiharufu, hamu ikapungua ikabidi nipige kimoja TU Cha kulinda heshima na kujipooza gharama nilizotumia Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  10. franckkimm

    NDOTO ZA USIKU: Mangungu na mwenzie wanaamini siku ataibuka bingwa kombe la ligi kuu NBCPL

    Wote wametolewa kimataifa, unahisi Yanga atakubali kupoteza au kupata sare kizembee??? Hapana ndio jibu sawa??? Ukizingatia ana kikosi kizuri sioni Simba akiwa bingwa hata kwa Bahati mbaya Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  11. franckkimm

    NDOTO ZA USIKU: Mangungu na mwenzie wanaamini siku ataibuka bingwa kombe la ligi kuu NBCPL

    Kuna shida kubwa Sanaa hasa kwao hao viongozi wawili Kwanini wasiachie tu nafasi/ kujiuzulu??, Hamna Cha maana walicho fanya zaidi ya kuleta kina sawadogo, jobe nk. Hayo ndio mafanikio yao Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  12. franckkimm

    NDOTO ZA USIKU: Mangungu na mwenzie wanaamini siku ataibuka bingwa kombe la ligi kuu NBCPL

    Bado wapo sanaaa...INASEMEKANA hata msimu ujao Bado wataendelea kuichezea lunyasi Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  13. franckkimm

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Kweli mkuu Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  14. franckkimm

    NDOTO ZA USIKU: Mangungu na mwenzie wanaamini siku ataibuka bingwa kombe la ligi kuu NBCPL

    UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi. Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 45 baada ya kucheza mechi 19 vinara ni Yanga wenye pointi 52. Meneja wa Habari na...
  15. franckkimm

    Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Gentamycine the king!!!! GENTAMYCINE Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  16. franckkimm

    Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

    Kupitia mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho Kati ya Yanga na mamelodi, Kocha mkuu wa Yanga Miguel GAMONDI, kafunguka mpaka Sasa Bado Aziz Ki na kipa Diarra hawajawasili kambini kuajili ya maandalizi ya mchezo Pia Kuna dout ya wachezaji wengine; aucho, yaoYao na pacome...
  17. franckkimm

    HOFU/WOGA: Waarabu Wanamuogopa benchikha vibaya mno!!!!

    Kasema wazi wazi kwa hofu kubwa,na lazima waogope
  18. franckkimm

    HOFU/WOGA: Waarabu Wanamuogopa benchikha vibaya mno!!!!

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  19. franckkimm

    HOFU/WOGA: Waarabu Wanamuogopa benchikha vibaya mno!!!!

    Mkuu wa msafara wa Al Ahly Hossam Ghally amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC ni uwepo wa kocha Abdelhak Benchikha. Al Ahly inatarajiwa kuvaana na Simba SC keshokutwa Ijumaa Machi 29 kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Back
Top Bottom