Katak Hali ya kushanga asbh Leo nimefatwa na mwanamke mmoja Kuja kwangu kuniomba animtafutie mganga anaweza kumdhibiti mumeo ambae hz Sasa Ni mvuta bangi ,qmesema ameshindwa kbsa ameongeza nae jamaa aelewi kbsa swala kuacha bangi
Mm binafsi nimeongea na huyu kijan kabila la kikurya na kumuonya...
Kama ninkweli mrudishe kwanza kwao kwa wazai wake Kisha tafuta Bab ako muende kwao kueleza kwanin mnfunja ndoa
Hi mm nibora kumdhalilisha kuliko yey alichofanya kunidhalilosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.