GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,114
- 110,495
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema akijitosa katika siasa hivi sasa atajitoa kafala, ndio maana amejiondoa huko akidai hakuna watu makini.
Chanzo: mwananchi_official
Niliwahi kumwambia Mtu kwa sasa unahitaji Moyo wa Mwendawazimu ukiwa Msomi kujihusisha na Siasa za Tanzania.