🤣🤣🤣🙌🏿Semenya acha vituko wewe. Ulaya una uhakika wa kufikisha miaka 60. So nina kama miaka 27 ya uhakika ya kuishi maaaamaee
Maghayo kwa kilugha cha kwetu maana yake ni mahangaiko 🤣 🤣 🤣 Pole sana mkuu maghayoSemenya acha vituko wewe. Ulaya una uhakika wa kufikisha miaka 60. So nina kama miaka 27 ya uhakika ya kuishi maaaamaee
Mkaldayo hupo?Mtoto Mashallah
Last seen jana saa 22:17.Kuna huyu dada anaitwa witnessj muda mrefu umepita sijamsoma humu jukwaani. Witness popote ulipo nakusalimia. Xxx
Oyaa.... Sieti.... Eeeh!Dj tusindikizie uzi na wimbo wa Dayoo_Huu mwaka tafadhaliii.
Mongolian finest 😂😁Wee Semenya acha vituko wewe. Ulaya mtu una uhakika wa kufikisha miaka 60. So nina kama miaka 27 ya uhakika ya kuishi maaaamaee
Huyu alikuwa anachat sana sio kawaida kukaa kimya hiviYupo bwana , witnessj ni jana tu mara ya mwisho kutumia jukwaa hili, ila avatar yake ilikua ni lazima atafutwe aiseeView attachment 2939446